Afrika inaongozwa na wanasiasa uchwara

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,892
3,196
Ukweli mchungu!

Nchi nyingi za Kiafrika, zinaongozwa na wanasiasa mbumbumbu. Hii wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kulitambua. Fuatilia wanasiasa wetu wengi, elimu zao ni za kuunga-unga. Wengi wana viraka vya elimu. Wengi wako kwenye nafasi aidha kwa sababu ya mchango wa wazazi wao au walitumia rushwa kupata uongozi.

Hii hali inaziumiza sana nchi nyingi za Kiafrika maana viongozi wake wengi wanatokana na wanasiasa uchwara hawa hawa. Wengi hawana uzalendo wala uchungu kwa nchi zao. Wengi hawana uwezo hata wa kufikiria maslahi mapana ya nchi zao hata kwa miaka kumi tu mbele. Wengi ni wepesi wa visasi na wamejaa vinyongo.
Matokeo yake wengi hawana uzalendo wala uchungu kwa nchi zao. Ndiyo maana kila uchao maliasiri za bara ili zinasombwa na kupelekwa nje ya Afrika.

Nchi kama USA, UK, Germany, Israel, Russia n.k ili uwe kiongozi lazima kwanza uwe vizuri ghorofani (kichwani) na uwe umetoa mchango chanya kwa Nchi yako. Haiwezekani tu kujikuta umekuwa kiongozi ghafla. Na ikitokea hivyo, mfumo utafanya kila linalowezekana kukuondoa. Hawataki ujinga linapokuja suala la uzalendo kwa nchi zao.

Sasa matokeo ya kuwa na wanasiasa uchwara, tunapata pia viongozi uchwara ambao matokeo yake yanaonekana wazi kote barani Afrika! Wengi wa viongozi wa Kiafrika, wako kwenye nafasi zao kwa hisani kama si ya wazazi basi marafiki au rushwa. Matokeo yake wengi hawawezi kuwa na uchungu wala uzalendo kutokana na njia zilizotumika kwao kuwepo kwenye nafasi zao. Hivyo, badala ya kuhangaika na kujenga nchi zao, wengi wanakuwa wanahangaika kulipa fadhila au kuona ni namna gani watarudisha fedha walizotumia kupata huo uongozi.

Hivyo, nimalizie kwa kusema kwamba, ili Afrika iendelee, basi tuachane na mfumo huu mbovu tulionao wa kuwapata viongozi. Tuwe na mfumo imara wa kuchagua viongozi makini watakaotuwezesha kutuvusha kutoka katika mkwamo tulio nao sasa. Afrika ni bara lenye kila kitu. Halipaswi kuendelea kubaki kwenye lindi la umaskini kama ilivyo sasa.
 
Hapa Tanzania ukiwa na akili nzuri na uadilifu hupati uongozi!
 
Kwakweli inachekesha sana. Nasikia eti hata mwamba Mbowe anataka awe Rahisi wa Tanzania.

Upo sahihi kabisa!! Africa ni Shithole
 
Wewe ambae sio uchwara Kwa nini usiongoze unatupigia Makelele mtandaoni Kila siku?
 
Afrika niya mbumbumbu Sasa viongozi silazima wawe ivyo!!
Saiv kunamatajiri vijana wanapesa nyingi zakishetani badala wajenge maviwanda wanaringishia watu mapesa mtandaoni na magari yakifahari ili wapate wanawake
 
Sioni tofauti ya mbu mbu na waliosoma wote chungu kimoja wizi na uchu wa madaraka!
Nadhani mfumo wetu mbovu ndo unapelekea hayo yote Mkuu. Maana unakuta hao wasomi, Bosi wao ni huyo ambaye hajasoma au ana elimu ya kuunga unga. Hivyo ili mkono uendelee kwenda kinywani, ni lazima wakati mwingine ajifanye hamnazo kwa lengo la kumfurahisha bosi wake.
 
Nchi nyingi africa zinaongozwa na Cartels.
Ukiwa na bahati ya connection ya hizo Cartels basi lazima uwe kwenye system.

Baada ya Uhuru nchi nyingi ziliangukia kwenye vikundi vya watu ambao ni kama familia zilizoamua kutafuta hizo nchi kwa kuwaslave wengine wengi.
 
Umenena vyema!
 
Ukweli mchungu!

Nchi nyingi za Kiafrika, zinaongozwa na wanasiasa mbumbumbu. Hii wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kulitambua. Fuatilia wanasiasa wetu wengi, elimu zao ni za kuunga-unga. Wengi wana viraka vya elimu. Wengi wako kwenye nafasi aidha kwa sababu ya mchango wa wazazi wao au walitumia rushwa kupata uongozi.

Hii hali inaziumiza sana nchi nyingi za Kiafrika maana viongozi wake wengi wanatokana na wanasiasa uchwara hawa hawa. Wengi hawana uzalendo wala uchungu kwa nchi zao. Wengi hawana uwezo hata wa kufikiria maslahi mapana ya nchi zao hata kwa miaka kumi tu mbele. Wengi ni wepesi wa visasi na wamejaa vinyongo.
Matokeo yake wengi hawana uzalendo wala uchungu kwa nchi zao. Ndiyo maana kila uchao maliasiri za bara ili zinasombwa na kupelekwa nje ya Afrika.

Nchi kama USA, UK, Germany, Israel, Russia n.k ili uwe kiongozi lazima kwanza uwe vizuri ghorofani (kichwani) na uwe umetoa mchango chanya kwa Nchi yako. Haiwezekani tu kujikuta umekuwa kiongozi ghafla. Na ikitokea hivyo, mfumo utafanya kila linalowezekana kukuondoa. Hawataki ujinga linapokuja suala la uzalendo kwa nchi zao.

Sasa matokeo ya kuwa na wanasiasa uchwara, tunapata pia viongozi uchwara ambao matokeo yake yanaonekana wazi kote barani Afrika! Wengi wa viongozi wa Kiafrika, wako kwenye nafasi zao kwa hisani kama si ya wazazi basi marafiki au rushwa. Matokeo yake wengi hawawezi kuwa na uchungu wala uzalendo kutokana na njia zilizotumika kwao kuwepo kwenye nafasi zao. Hivyo, badala ya kuhangaika na kujenga nchi zao, wengi wanakuwa wanahangaika kulipa fadhila au kuona ni namna gani watarudisha fedha walizotumia kupata huo uongozi.

Hivyo, nimalizie kwa kusema kwamba, ili Afrika iendelee, basi tuachane na mfumo huu mbovu tulionao wa kuwapata viongozi. Tuwe na mfumo imara wa kuchagua viongozi makini watakaotuwezesha kutuvusha kutoka katika mkwamo tulio nao sasa. Afrika ni bara lenye kila kitu. Halipaswi kuendelea kubaki kwenye lindi la umaskini kama ilivyo sasa.
George Bush mtoto alikuwa mvuta bangi na hakuwa na matokeo mazuri chuoni, lakini alikuwa Rais wa Marekani kwasababu ya connections za wazazi wake. Tusijidharau!!
 
Nchi nyingi africa zinaongozwa na Cartels.
Ukiwa na bahati ya connection ya hizo Cartels basi lazima uwe kwenye system.

Baada ya Uhuru nchi nyingi ziliangukia kwenye vikundi vya watu ambao ni kama familia zilizoamua kutafuta hizo nchi kwa kuwaslave wengine wengi.
Kweli Mkuu, Balozi Polepole anawaita "wahuni"
 
Back
Top Bottom