Mtikila tutakukumbuka kwa busara zako kwa Wazanzibar

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Mchungaji Mtikila alikuwa na maono kisiasa hapa nchini.

Ni kiongozi wa kisiasa aliyekumbana na rungu la watawala kuliko kiongozi wa upinzani yeyote hapa nchini.

Sikilizeni baadhi ya maneno yake na ushauri wake juu ya wazanzibar na kwa yanayo tokea sasa mtagundua kuwa alikuwa na maono.
 
Mchungaji Mtikila alikuwa na maono kisiasa hapa nchini.

Ni kiongozi wa kisiasa aliyekumbana na rungu la watawala kuliko kiongozi wa upinzani yeyote hapa nchini.

Sikilizeni baadhi ya maneno yake na ushauri wake juu ya wazanzibar na kwa yanayo tokea sasa mtagundua kuwa alikuwa na maono. View attachment 2860573
Mtikila alikuwa ni miongoni mwa watu wachache sana hapa duniani ambao walijitoa mhanga kwa dhati kabisa ya mioyo yao katika kupigania Haki za watu wenzao. Naamini kwa nchi kama Tanzania tungepata watu akina Mtikila wapatao 2,000 tu basi mambo yangekuwa safi kabisa. Mpaka leo hii tusingekuwa tunaendelea kuzungumzia matatizo yal yale ya miaka ya 1800s, tungepiga hatua kubwa na sasa tungekuwa mbali sana. Kwa bahati mbaya sana Watawala dhalimu walimuona kama adui wa nchi, kumbe ni Masiha aliyetumwa na Mungu ili kuwakomboa Waja wake hapa Tz.
Kwa kadiri siku zinavyosonga, uhitajika wake unazidi kudhihirika hapa Tz, pengo lake ni kubwa sana, halitaweza kuzibika kamwe.
R.I.P Mchungaji Christopher Mtikila.
R.I.P. Prof. Jwani Mwaikusa.
R.I.P Dkt. Sengondo Mvungi.
 
Huyu alikuwa chizi Bora mungu alivyomwahisha vinginevyo angeleta taharuki. Anaongea vitu ambavyo yeye mwenyewe anajua siyo kweli
 
Pengo limezibwa na Freeman Mbowe wa Chadema
1000006218.jpg
 
Mchungaji Mtikila alikuwa na maono kisiasa hapa nchini.

Ni kiongozi wa kisiasa aliyekumbana na rungu la watawala kuliko kiongozi wa upinzani yeyote hapa nchini.

Sikilizeni baadhi ya maneno yake na ushauri wake juu ya wazanzibar na kwa yanayo tokea sasa mtagundua kuwa alikuwa na maono. View attachment 2860573
sio kwa WAZANZIBAR bali hata kwa WATANGANYIKA

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Mchungaji Mtikila alikuwa na maono kisiasa hapa nchini.

Ni kiongozi wa kisiasa aliyekumbana na rungu la watawala kuliko kiongozi wa upinzani yeyote hapa nchini.

Sikilizeni baadhi ya maneno yake na ushauri wake juu ya wazanzibar na kwa yanayo tokea sasa mtagundua kuwa alikuwa na maono. View attachment 2860573
Mtikila alikuwa tapeli fulani ambaye alitumikia Majaji waliomtuma kufungua kesi dhidi ya Serikali. Alikuwa anatumika na akina Jaji Mwalusanya na ndiyo maana kesi nyingi zilifanyikia Dodoma alikokuwa anafanya kazi Jaji Mwalusanya. Kwenye maisha ya binafsi alifeli sana. Hakuacha mtoto wa kuzaa licha ya kuwa mume kwa yule mwanamke aliyekuwa anafanya kazi International School, Georgia.

Upande mwingine Mtikila alijuwa dhulmat wa mali kwa watu wa kawaida. Kumbuka kesi ya msikiti wa Ilala
 
Mtikila alikuwa ni miongoni mwa watu wachache sana hapa duniani ambao walijitoa mhanga kwa dhati kabisa ya mioyo yao katika kupigania Haki za watu wenzao. Naamini kwa nchi kama Tanzania tungepata watu akina Mtikila wapatao 2,000 tu basi mambo yangekuwa safi kabisa. Mpaka leo hii tusingekuwa tunaendelea kuzungumzia matatizo yal yale ya miaka ya 1800s, tungepiga hatua kubwa na sasa tungekuwa mbali sana. Kwa bahati mbaya sana Watawala dhalimu walimuona kama adui wa nchi, kumbe ni Masiha aliyetumwa na Mungu ili kuwakomboa Waja wake hapa Tz.
Kwa kadiri siku zinavyosonga, uhitajika wake unazidi kudhihirika hapa Tz, pengo lake ni kubwa sana, halitaweza kuzibika kamwe.
R.I.P Mchungaji Christopher Mtikila.
R.I.P. Prof. Jwani Mwaikusa.
R.I.P Dkt. Sengondo Mvungi.
Upo sahihi sana mkuu
 
Back
Top Bottom