Kama Serikali ndio inawalipa Wabunge mishahara na posho nono, je Bunge linaweza kweli kuisimamia na kuiwajibisha Serikali inapobidi?

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,042
Wadau nawasabahi.

Kama kichwa cha habari kilivyo.

Je, ni kweli BUNGE hili lina uwezo wa kuisimamia na kuiwajibisha Serikali pindi ikibidi wakati huo huo serikali ndiyo inayowalipa mishahara minono na posho nono au Wananchi tunadanganywa?
 
Hivi kwa wenzetu walioendelea ki demokrasia kama Uingereza na Marekani, wabunge wanalipwa na nani?
 
Back
Top Bottom