Rais apitie upya ruzuku za vyama vya siasa, ni zaidi ya laana

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,969
22,163
Kwa nchii masikini kama Tanzania tunahaha kupataa ambulance. Ya million 80-100 alafu chama kimoja kinapata zaidi ya mil 200+ HII n laana kubwa sana

Hatakama hizopesa zinatoka marekani MH Rais unamamboo mengi sana hiinchii iliaibika kwa kudanganywa unaitaji kuyarekebisha

Najuaa uweziyamaliza kwakati mmoja lakjni MH unaweza kuanza polepole tumeona ndege tumeona NA hizo reliyakati zinakuja...

NA nyie vyama msikubali kubeba laana za HII nchi...acheni pesa zawananchi zifanye maendeleo

Ifanyike research yamaana haraka kila chama kipewe ngapi kwa mwezi mpunguze haya mapesa kama tumeuA meno za tembo NA madawayakulevya ufillipino wamekomaa NA sisi tumsaidie Rais wapi pakupunguza tuone maendeleo
 
Chama kitakachoathirika ni chadema na kafu, ccm ina mali nyingi zitumiwe ipasavyo tu, kwa mfano ruzuku fulani itaenda kulipia deni la club billicanas.
 
Watu na vyama vyao hawawezi kuelewa hilo, hata hiyo haiwatoshi!
 
Kwa nchii masikini kama Tanzania tunahaha kupataa ambulance. Ya million 80-100 alafu chama kimoja kinapata zaidi ya mil 200+ HII n laana kubwa sana

Hatakama hizopesa zinatoka marekani MH Rais unamamboo mengi sana hiinchii iliaibika kwa kudanganywa unaitaji kuyarekebisha

Najuaa uweziyamaliza kwakati mmoja lakjni MH unaweza kuanza polepole tumeona ndege tumeona NA hizo reliyakati zinakuja...

NA nyie vyama msikubali kubeba laana za HII nchi...acheni pesa zawananchi zifanye maendeleo

Ifanyike research yamaana haraka kila chama kipewe ngapi kwa mwezi mpunguze haya mapesa kama tumeuA meno za tembo NA madawayakulevya ufillipino wamekomaa NA sisi tumsaidie Rais wapi pakupunguza tuone maendeleo
Chunga sana uandishi wako,milioni saba ni nyingi mno
 
Mkuu Pdidy , asate kwa hoja hii ambayo pia imejadiliwa na Mkuu
Mkuu Idugunde , asante kwa bandiko hili CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao

Hii hoja imejadiliwa pia hapa na Mkuu Sildenafil Citrate , Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

Wanasiasa, mtanielewa tuu in due time, kwasababu hili sikuanza nalo leo Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

Paskali
 
Back
Top Bottom