Ushauri : Ruzuku za vyama vya siasa kwa mwaka 1 zipelekwe kusaidia maafa Bukoba

kanone

JF-Expert Member
Oct 10, 2013
6,188
1,576
KATIKA KIPINDI KIGUMU KWA WATANZANIA WENZETU WALIOPATWA NA MAAFA BUKOBA, NAVISHAURI VYAMA VYA SIASA ,
1 CCM,
2,CHADEMA
3, CUF
4, ACT
NA VIGINE VIDOGO,
BADALA YA KUTUMIA TUKIO ILI NA VIFO VYA WENZETU KISIASA,
BASI WAKIBALI KAMA SEHEMU YA KIGUSWA KWAO RUZUKU ZA VYAMA VYAO KWA KIPINDI CHA MWAKA MOJA AU MIWILI ZIPELEKWE UKO BUKOBA KUSAIDI WAANGA WA MAANA KAMA SEHEMU YA KUWAPUNGUZIA UGUMU UNAOTOKANA TETEMEKO LILILOTOKEA BUKOBA,
 
Hili sio janga la mwisho, bado kuna janga la njaa linakuja nafikili kilichochangwa kinatosha na sasa nguvu ielekezwe tu kwenye kuhakikisha kilichokusanywa kinwafikia wahanga
 
Wazo zuri ila nadhani vitega uchumi vyote vya umma vilivyoporwa na SISIEM virudishwe kwanza serikalini ndo wazo lako litatekelezeka kwa haki kabisa
 
KATIKA KIPINDI KIGUMU KWA WATANZANIA WENZETU WALIOPATWA NA MAAFA BUKOBA, NAVISHAURI VYAMA VYA SIASA ,
1 CCM,
2,CHADEMA
3, CUF
4, ACT
NA VIGINE VIDOGO,
BADALA YA KUTUMIA TUKIO ILI NA VIFO VYA WENZETU KISIASA,
BASI WAKIBALI KAMA SEHEMU YA KIGUSWA KWAO RUZUKU ZA VYAMA VYAO KWA KIPINDI CHA MWAKA MOJA AU MIWILI ZIPELEKWE UKO BUKOBA KUSAIDI WAANGA WA MAANA KAMA SEHEMU YA KUWAPUNGUZIA UGUMU UNAOTOKANA TETEMEKO LILILOTOKEA BUKOBA,
MKuu utakosana na watu watu wako kimaslahi said ruzuku ndo inawafanya wakina Lipumba warud kwenye umwentekiti
 
Ruzuku ni za kusaidia vyama vijiendeshe na siyo maafa..kitengo cha maafa huwa kinatengewa fungu lao ndo waeleze hela wamefanyia nini mpaka wananchi tuchange tena
 
Kwani hiyo ruzuku hutolewa kama zawadi au kwa ajili kusaidia vyama kujiendesha? wewe unadhani kwa mwaka mzima vyama hivi vikikosa ruzuku vitajiendeshaje? Ungeishauri serikali iache kukwepa majukumu yake kama mlezi na itoe Msaada kupitia mfuko wa maafa wa W.Mkuu, labda waseme huo mfuko uko empty
 
Itakayo athirika zaidi ni Ccm ambayo ina watumishi wengi wasio na umuhimu kama ATCL. Pamoja na kuwa na vitega uchumi vingi walivyo pora bado ukata unawasumbua mpaka wanachangisha wafanyabiashara kwa vitisho
 
KATIKA KIPINDI KIGUMU KWA WATANZANIA WENZETU WALIOPATWA NA MAAFA BUKOBA, NAVISHAURI VYAMA VYA SIASA ,
1 CCM,
2,CHADEMA
3, CUF
4, ACT
NA VIGINE VIDOGO,
BADALA YA KUTUMIA TUKIO ILI NA VIFO VYA WENZETU KISIASA,
BASI WAKIBALI KAMA SEHEMU YA KIGUSWA KWAO RUZUKU ZA VYAMA VYAO KWA KIPINDI CHA MWAKA MOJA AU MIWILI ZIPELEKWE UKO BUKOBA KUSAIDI WAANGA WA MAANA KAMA SEHEMU YA KUWAPUNGUZIA UGUMU UNAOTOKANA TETEMEKO LILILOTOKEA BUKOBA,
kwa akili hiz utasema na ada za kulipia shule watoto tupeleke bukoba
 
KATIKA KIPINDI KIGUMU KWA WATANZANIA WENZETU WALIOPATWA NA MAAFA BUKOBA, NAVISHAURI VYAMA VYA SIASA ,
1 CCM,
2,CHADEMA
3, CUF
4, ACT
NA VIGINE VIDOGO,
BADALA YA KUTUMIA TUKIO ILI NA VIFO VYA WENZETU KISIASA,
BASI WAKIBALI KAMA SEHEMU YA KIGUSWA KWAO RUZUKU ZA VYAMA VYAO KWA KIPINDI CHA MWAKA MOJA AU MIWILI ZIPELEKWE UKO BUKOBA KUSAIDI WAANGA WA MAANA KAMA SEHEMU YA KUWAPUNGUZIA UGUMU UNAOTOKANA TETEMEKO LILILOTOKEA BUKOBA,
Na hayo matrilion anayokusanya yaende wapi
 
Hili sio janga la mwisho, bado kuna janga la njaa linakuja nafikili kilichochangwa kinatosha na sasa nguvu ielekezwe tu kwenye kuhakikisha kilichokusanywa kinwafikia wahanga
Unatumia vigezo/takwimu zipi kusema kilichochangiwa kinatosha? halafu mbona ndo kwanza matangazo na taratibu za kuchangia zimeshika kasi, wewe unajisikiaje? hayo ni maswali mawili tofauti na tunakuomba usahihi wake.
 
Kitengo cha uzushi cha lumumba kinachoongozwa na VUTA NKUVUTE chini ya uangalizi wa sendeka na Nape kitajiendeshaje ? Taarifa inaonyesha kwamba Zaidi ya vijana elfu 1 wanaoitwa Buku 7 fc , wanaishi mjini kwa kudra ya ruzuku , hatima ya maisha yao itakuwaje ?
 
Kabla ya hayo yote kitengo cha maafa cha ofis ya wazir mkuu kimefanya nn?

UNAAULIZA NA KUFIKILIA KAMA SIYO MSOMI.HIVI HUJAONA ESTIMATE ZA GHARAMA ZA KUKABILIANA NA MAJANGA YA KAGERA NI SH 1 TIRRIONI MOJA..JE HICHO KIJIIDALA CHINI Y AOFISI YA WAZIRI MKUU UNADHANI WALIPEWAHA HATA ROBO YA HIYO BUDGET BUNGENI.KWANZA HAKUNA ALIETARAJIA.JUA KUA KAZI YA KITENGO NI COORDINATION KUTOKA SERIKALI NA WADAU MBALIMBALI KAMA INAVYOFANYIKA.
 
KATIKA KIPINDI KIGUMU KWA WATANZANIA WENZETU WALIOPATWA NA MAAFA BUKOBA, NAVISHAURI VYAMA VYA SIASA ,
1 CCM,
2,CHADEMA
3, CUF
4, ACT
NA VIGINE VIDOGO,
BADALA YA KUTUMIA TUKIO ILI NA VIFO VYA WENZETU KISIASA,
BASI WAKIBALI KAMA SEHEMU YA KIGUSWA KWAO RUZUKU ZA VYAMA VYAO KWA KIPINDI CHA MWAKA MOJA AU MIWILI ZIPELEKWE UKO BUKOBA KUSAIDI WAANGA WA MAANA KAMA SEHEMU YA KUWAPUNGUZIA UGUMU UNAOTOKANA TETEMEKO LILILOTOKEA BUKOBA,
Mkuu kanone, asante kwa hoja hii ambayo pia imejadiliwa na
Mkuu Idugunde , asante kwa bandiko hili CHADEMA hawawezi kumuelewa Paskali Mayalla. Ruzuku kwao ni baishara kuendesha maisha yao

Hii hoja imejadiliwa pia hapa na Mkuu Sildenafil Citrate , Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

Wanasiasa, mtanielewa tuu in due time, kwasababu hili sikuanza nalo leo Ruzuku kwa vyama vya Siasa: Mnaonaje tumshauri Rais Magufuli aifutilie mbali ruzuku hii? Ni ufisadi

Paskali
 
Back
Top Bottom