Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Wakati sakata lile linapamba moto, liliibuka suala la mkataba wa serikali kudhamini makanisa Kwa fedha ya umma.

Hoja yangu inajikita kwenye hoja kwamba sakata la DP world na mkataba wa makanisa vinahusiana sana .

Kutokana na hili binafsi napata picha kwamba hili la dp world ni kama kisasi Kwa mkataba ule wa makanisa ndio maana tuliona jamii yote ya waislam ikiunga mkono bila hata kuhoji.

Sasa baada ya kutafakari Kwa kina Leo
Je serikali kudhamini makanisa ni sawa??? Binafsi nimegundua ni hapana ,si sawa.
Kama kulikuwa na ulazima sana kutokana na serikali kutokuwa na uwezo kama jamii kubwa ya wakristo ilivyokuwa inadai,basi walau hayo makubaliano yangewekwa Kwa muda mfupi wakati serikali ikijipanga kujenga hospitali zake kama ilivyo wajibu wake

Katoliki ni kanisa kubwa sana hapa nchini lenye muunganiko na mshikamano wake na miradi yake. Wakristo wapo wengi ambao wakiweza kuji sum up wanaweza wazidi hata wakatoliki. Lakini huo umoja hauwezekani kutokana na tofauti zetu. Je siku RC wakisema watumie miradi yake hiyo ambayo inakuwa supported na Kodi ya serikali kujiimarisha wao kama wao,itakuwa sawa???

Mf.watumie kigezo Cha kuajiliwa kwenye hospitali zao, lazima uwe mkatoliki au uwe umesoma kwenye shule zao ili wajiimarishe kibiashara itakuwa sawa hiyo?? Kumbuka at the same time serikali haitakiwi kujenga hospitali nyingine kulingana na makubaliano Yale ya kanisa.

Ikumbukwe pia kipindi hicho wakati makubaliano hayo na makanisa yanawekwa ambapo waislam waliwekwa kando kutokana kuwa minority na kutokuwa na economic muscle za kumiliki mahospitali . Lakini Leo nguvu sio population Tena Bali ni uwezo wa kumiliki uchumi. Ndio maana Kuna kipindi christians humu as many as we are, lakini Bado tulikuwa tunalialia Azam tv Wana udini. Wamepata wapi jeuri hiyo?? Uchumi.

Hivyo nikisimamia kwenye hoja hizo, binafsi ninahisi dp world ni kisasi au kuna namna waislam wametupiga japo sijajua how.

Kama taifa ambalo tumechagua kuwa si la kidini,ambalo pia ni lina dini nyingi ndani yake, serikali inapaswa kujitenga kabisa na dini na kutimiza wajibu wake Kwa watu wake.

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
 
Kwa sasa issue kubwa ni Katiba mpya bora au maboresho bora ya Katiba kuelekea Uchaguzi mkuu ili tuweze kupata viongozi bora na halali watakao chaguliwa kihalali na wananchi halali wa Nchi hii !!🙏🙏

Mambo ya Udini Udini kwa sasa hayana faida !!
 
Ile MoU ya serikali na kanisa inayokataza serikali kujenga hospitali ktk maeneo yenye hospitali za kanisa ni uhuni mwingine wa RC kama kubariki mashoga. Hili jambo ni time bomb halitokubalika milele!
Kwa nini serikali ijenge Hospitali sehemu zenye Hospitali kubwa na za kisasa??
Ziwe Hospitali za kanisa au za msikiti.
Hizo zitakuwa akili au matope?!
Nchi hii kuna mikoa na wilaya wananchi wanasafiri mamia ya Kilometa kufuata Hospitali nzuri, serikali ijenge hospitali huko kwanza kabla ya kutaka kushindana na kanisa kuongeza hospital maeneo yenye hospitali bora tayari.
 
DPW ule ulikuwa ni mkataba wa hovyo serikali iliyoingia na waarabu kuendesha bandari zetu, sasa ukisema unaamini waislamu walitumia ile kama kigezo cha kulipa kisasi hapo unaonesha kumbe hao waislamu watakuwa wajinga.

Wajinga kwasababu madhara ya ule mkataba wa hovyo waliyoingia yatatuumiza wote, hayatachagua mwenye dini au mpagani, sasa kwanini wakatumia kigezo hicho kulipa kisasi kwa jambo litakalowaumiza mpaka wao wenyewe?!

Hii mada yako ni ya kufikirika zaidi, haijasimama inavyotakiwa, na umeharibu zaidi pale uliposema unaamini wanatupiga ila hujui how?!

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Kwa nini serikali ijenge Hospitali sehemu zenye Hospitali kubwa na za kisasa??
Ziwe Hospitali za kanisa au za msikiti.
Hizo zitakuwa akili au matope?!
Nchi hii kuna mikoa na wilaya wananchi wanasafiri mamia ya Kilometa kufuata Hospitali nzuri, serikali ijenge hospitali huko kwanza kabla ya kutaka kushindana na kanisa kuongeza hospital maeneo yenye hospitali bora tayari.
Namsubiri nione jibu lake hapa, mihemko huwa inachukua sehemu kubwa sana humu ndani kwa baadhi yetu wanapojadili baadhi ya mambo.

Na huo ndio ukweli !
 
Ile MoU ya serikali na kanisa inayokataza serikali kujenga hospitali ktk maeneo yenye hospitali za kanisa ni uhuni mwingine wa RC kama kubariki mashoga. Hili jambo ni time bomb halitokubalika milele!
Mr idiot, hakuna kitu kinaitwa time boom bali timer boom.
Furthermore, Mkapa Mkatoliki aliamua kuwapa chuo cha Morogoro Wallaghu mpate akili japo robo lakini hadi leo mmendelee kubaki kuwa wapumbavu.
 
Namsubiri nione jibu lake hapa, mihemko huwa inachukua sehemu kubwa sana humu ndani kwa baadhi yetu wanapojadili baadhi ya mambo.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Hasahasa kwenye mada zenye elements za udini udini ndani yake kama hii thread ilivyo !!

Eti kwamba dipiwedi ni kisasi dhidi ya memorundum of understanding 😳😂😂!
Hatar sana 😂🙏🙏
 
Mr idiot, hakuna kitu kinaitwa time boom bali timer boom.
Furthermore, Mkapa Mkatoliki aliamua kuwapa chuo cha Morogoro Wallaghu mpate akili japo robo lakini hadi leo mmendelee kubaki kuwa wapumbavu.
Thamani ya hicho chuo na mipesa Taasisi za kikristo zinapata ni sawa na kulinganisha kisima na ziwa victoria.

Mabilioni na manufaa wanayopata wakatoliki kwa hiyo MoU ni sawa na vyuo hivyo 100

Chuo kilitolewa mara moja , wakati mabilioni kwenda kwa kanisa yanayolewa kila mwaka.
 
Wakati sakata like linapamba moto, liliibuka suala la mkataba wa serikali kudhamini makanisa Kwa fedha ya umma.

Hoja yangu inajikita kwenye hoja kwamba sakata la DP world na mkataba wa makanisa vinahusiana sana .

Kutokana na hili binafsi napata picha kwamba hili la do world ni kama kisasi Kwa mkataba ule wa makanisa ndio maana tuliona jamii yote ya waislam ikiunga mkono bila hata kuhoji.

Sasa baada ya kutafakari Kwa kina Leo
Je serikali kudhamini makanisa ni sawa??? Binafsi nimegundua ni hapana ,si sawa.
Kama kulikuwa na ulazima sana kutokana na serikali kutokuwa na uwezo kama jamii kubwa ya wakristo ilivyokuwa inadai,basi walau hayo makubaliano yangewekwa Kwa muda mfupi wakati serikali ikijipanga kujenga hospitali zake kama ilivyo wajibu wake

Katoliki ni kanisa kubwa sana hapa nchini lenye muunganiko na mshikamano wake na miradi yake. Wakristo wapo wengi ambao wakiweza kujib sum up wanaweza wazidi hata wakatoliki. Lakini huo umoja hauwezekani kutokana na tofauti zetu. Je siku RC wakisema watumie miradi yake hiyo ambayo inakuwa supported na Kodi ya serikali kujiimarisha wao kama wao,itakuwa sawa???

Mf.watumie kigezo Cha kuajiliwa kwenye hospitali zao, lazima uwe mkatoliki au uwe umesoma kwenye shule zao ili wajiimarishe kibiashara itakuwa sawa hiyo?? Kumbuka at the same time serikali haitakiwi kujenga hospitali nyingine kulingana na makubaliano Yale ya kanisa.

Ikumbukwe pia kipindi hicho wakati makubaliano hayo na makanisa yanawekwa ambapo waislam waliwekwa kando kutokana kuwa minority na kutokuwa na economic muscle za kumiliki mahospitali . Lakini Leo nguvu sio population Tena Bali ni uwezo wa kumiliki uchumi. Ndio maana Kuna kipindi christians humu as many as we are, lakini Bado tulikuwa tunalialia Azam tv Wana udini. Wamepata wapi jeuri hiyo?? Uchumi.

Hivyo nikisimamia kwenye hoja hizo, binafsi ninahisi dp world ni kisasi au kuna namna waislam wametupiga japo sijajua how.

Kama taifa ambalo tumechagua kuwa si la kidini,ambalo pia ni lina dini nyingi ndani yake, serikali inapaswa kujitenga kabisa na dini na kutimiza wajibu wake Kwa watu wake.
Una elimu gani kwanza? Huo mkataba uko wapi? Kanisa katoliki halijawahi kuiomba serikali yako iingie mkataba wowote ila ni serikali inayotumia miradi ya kanisa kuhudumia wananchi wake (hospitals, vyuo, shule n.k) na mara nyingi ni katika maeneo ambayo serikali bado haijapeleka huduma za kijamii au katika maeneo ambayo serikali imepeleka huduma lakini hazina ubora.
Kanisa bila serikali yako linajitosheleza mno na halijawahi kuhitaji msaada na kwa taarifa yako kuna baadhi ya maeneo kanisa liliandika barua za kuvunja ushirikiano huo kutokana na serikali yako kutowajibika! Hivi kwa akili yako serikali hii inayoshindwa kuweka madawati kwenye vyumba vya madarasa inaweza kulifanyia nini kanisa!? Rudi madrasa katunge upuuzi mwingine.
 
Thamani ya hicho chuo na mipesa Taasisi za kikristo zinapata ni sawa na kulinganisha kisima na ziwa victoria.

Mabilioni na manufaa wanayopata wakatoliki kwa hiyo MoU ni sawa na vyuo hivyo 100

Chuo kilitolewa mara moja , wakati mabilioni kwenda kwa kanisa yanayolewa kila mwaka.

Mkapa alijidanganya, alihisi shida yenu kubwa ni Elimu, akawapa Chuo ili mkomboke. Hakujua kuwa ujinga na upumbavu kwenu ni Tunu.

Hadi jua litapatwa na supernova mtabaki pale pale.

Dini yenu imekuwa kimbilio kubwa la watu wenye matatizo ya Akili.

Then umejibu Yoda swali lake?.
 
Thamani ya hicho chuo na mipesa Taasisi za kikristo zinapata ni sawa na kulinganisha kisima na ziwa victoria.

Mabilioni na manufaa wanayopata wakatoliki kwa hiyo MoU ni sawa na vyuo hivyo 100

Chuo kilitolewa mara moja , wakati mabilioni kwenda kwa kanisa yanayolewa kila mwaka.
Njaa mbaya sana, kwa akili yako unahisi mabilioni yanapelekwa kanisani au kwenye miradi ambayo serikali imeingia ubia? Mfano hayo mabilioni yakipelekwa kwenye hospital inayomilikiwa na kanisa lakini ina wafanyakazi kibao waajiriwa wa serikali (mfano Bugando Mwanza, KCMC Moshi, Baptist Kigom n.k) yakanunua madawa na vifaa tiba na kugharamia uendeshaji kidogo ndo kanisa linakuwa limenufaika!? Kabla ya huo ubia hospital zilikuwa zinajiendeshaje? Acheni upumbavu wa kidini na kimasikini kwenye mambo ya msingi kama afya za watu.
 
Back
Top Bottom