Chalamila muogope Mungu, ulemavu hauombwi

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Rc wa dsm ndugu Chalamila anasema walemavu wote jijini wakamatwe!!!+

Namuomba ndugu yangu Chalamila akumbuke kuwa ulevu siyo jambo la kuomba bali ni matakwa ya Mungu.

Chalamila kumbuka kuwa na lugha yenye stara kwa binadamu wenzako maana cheo chako ni dhamana tu na wewe ni mlemavu mtarajiwa.

---
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kuna baadhi ya Watu wamegeuza ulemavu kuwa mtaji kwa kuwatuma Walemavu kuomba barabarani kisha pesa wanazichukua wao ambapo kufuatia hali hiyo ameagiza Walemavu wote wanaoomba barabarani wakamatwe na wapelekwe kwenye vituo vya kulelea Walemavu.

“Kwakweli Mtaa hauzai, wanaoita Watoto wa mitaani ni kukwepa jukumu la kumuita Mtoto wa Juma, hakuna Mtaa unaojifungua hakuna, kwahiyo agizo langu kwa kushirikiana na Wakuu wa Wilaya wa Dar es salaam kuna Watu wanazagaazagaa kwenye maeneo ya msingi kwa mfano Tanzanite Bridge ukienda pale Ubungo fukuzeni wote, na hasa kwa mfano wale Walemavu kamateni wanaoendesha kwenye vile vibaiskeli ambao wanaomba kama wale”

“Tumethibitisha ni miradi ya walio sio Walemavu, wale ambao sio Walemavu wamekusanya Walemavu wanawatembeza na vibaiskeli mnawapatia hela wanachukua wao wanaweka mfukoni, jioni wanampatia yule elfu 5 au elfu 3 halafu hela waliyopewa wanaondoka nayo”

“Kwahiyo ulemavu sasa ni mtaji, wanakwenda kuwasaka huko vijijini, kwanini nasema haya?, Mheshimiwa Rais ameboresha mazingira ya Walemavu na ukienda hapahapa Dar kuna kituo kikubwa cha kulelea Walemavu zaidi ya Tsh. trlioni 3 zimewekweza na Serikali kwenye vituo vingi Tanzania hatuna sababu ya kuwa na Watu wanaombaomba huko barabarani”
 
Mimi nimlichoelewa kwenye audio ni kuwa wale watu wazima wanawaendesha walemavu wakamatwe, kwa kuwa ndio wamefanya walemavu kuwa mtaji wao.
Mkuu inawezekana ulivyo elewa ikawa sawa.

Ila kwa wengi wetu timeelewa kuwa anawasakama walemavu moja kwa moja
 
Rc wa dsm ndugu Chalamila anasema walemavu wote jijini wakamatwe!!!+

Namuomba ndugu yangu Chalamila akumbuke kuwa ulevu siyo jambo la kuomba bali ni matakwa ya Mungu.

Chalamila kumbuka kuwa na lugha yenye stara kwa binadamu wenzako maana cheo chako ni dhamana tu na wewe ni mlemavu mtarajiwa.

Kwa hili namuunga mkono Mkuu wa Mkoa.
Ni kweli walemavu na watoto wa mtaani wanapaswa kuwekwa sehemu wahudumiwe na serikali.
 
Rc wa dsm ndugu Chalamila anasema walemavu wote jijini wakamatwe!!!+

Namuomba ndugu yangu Chalamila akumbuke kuwa ulevu siyo jambo la kuomba bali ni matakwa ya Mungu.

Chalamila kumbuka kuwa na lugha yenye stara kwa binadamu wenzako maana cheo chako ni dhamana tu na wewe ni mlemavu mtarajiwa.

Duh! Hawa wakubwa wetu sasa imekuwaje tena? Yule wa Simuyu naye ndo hivyo tena anasema hakuna haja ya kuomboleza, huyu wa Hapa-hapa (DSM) anasema Walemavu wakamatwe. Labda angeliwataka wataalam walio chini yake (subordinates) wafanye mchanganuo wa gharama ya kuwakamata WOTE na jinsi na gharama (How and where) ya miundombinu ya kuwahifadhi au itakuwa kama yule jamaa wa Uganda aliyewakusanya kwenye Tipper?
 
Kwa hili namuunga mkono Chalamila. Hakuna walemavu wanaopenda kujianika juani kuombaomba
 
Rc wa dsm ndugu Chalamila anasema walemavu wote jijini wakamatwe!!!+

Namuomba ndugu yangu Chalamila akumbuke kuwa ulevu siyo jambo la kuomba bali ni matakwa ya Mungu.

Chalamila kumbuka kuwa na lugha yenye stara kwa binadamu wenzako maana cheo chako ni dhamana tu na wewe ni mlemavu mtarajiwa.

---
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema kuna baadhi ya Watu wamegeuza ulemavu kuwa mtaji kwa kuwatuma Walemavu kuomba barabarani kisha pesa wanazichukua wao ambapo kufuatia hali hiyo ameagiza Walemavu wote wanaoomba barabarani wakamatwe na wapelekwe kwenye vituo vya kulelea Walemavu.

“Kwakweli Mtaa hauzai, wanaoita Watoto wa mitaani ni kukwepa jukumu la kumuita Mtoto wa Juma, hakuna Mtaa unaojifungua hakuna, kwahiyo agizo langu kwa kushirikiana na Wakuu wa Wilaya wa Dar es salaam kuna Watu wanazagaazagaa kwenye maeneo ya msingi kwa mfano Tanzanite Bridge ukienda pale Ubungo fukuzeni wote, na hasa kwa mfano wale Walemavu kamateni wanaoendesha kwenye vile vibaiskeli ambao wanaomba kama wale”

“Tumethibitisha ni miradi ya walio sio Walemavu, wale ambao sio Walemavu wamekusanya Walemavu wanawatembeza na vibaiskeli mnawapatia hela wanachukua wao wanaweka mfukoni, jioni wanampatia yule elfu 5 au elfu 3 halafu hela waliyopewa wanaondoka nayo”

“Kwahiyo ulemavu sasa ni mtaji, wanakwenda kuwasaka huko vijijini, kwanini nasema haya?, Mheshimiwa Rais ameboresha mazingira ya Walemavu na ukienda hapahapa Dar kuna kituo kikubwa cha kulelea Walemavu zaidi ya Tsh. trlioni 3 zimewekweza na Serikali kwenye vituo vingi Tanzania hatuna sababu ya kuwa na Watu wanaombaomba huko barabarani”
Sio kila jambo mnaligeuza kuwa la kisiasa.
Kabla hujamshambulia Chalamila unapaswa kuelewa kuwa Kenya iliwahi kuwafukuza watanzania nchini mwao sababu ya hizo kashfa za Vilema kupelekwa Kenya kuombeshwa pesa .
Hizo ni project za watu na Tanzania inajulikana kwa umaarufu huo.
Mmawia na Chadema yenu fanyeni siasa safi na watanzania wayawaamini lakini mkiendeleza huu uhuni na chuki kamwe hamtakaa muione Ikulu.
Mnafamya siasa za kichagga za kipumbavu kabisa!
 
Back
Top Bottom