Maonyesho ya Kijeshi siku za sherehe ni mambo yamepitwa na wakati na ni hatarishi

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,111
18,327
Tumeona leo huko zanzibar wanajeshi wakionyesha silaha, ujuzi na mambo mengine..

Hadi leo hawaja wahi eleza maana ya hii michezo, yaamkini baada ya uhuru miaka hiyo yalikua na maana.

Lakini leo ni kujichosha na kupoteza pesa za umma kusafirisha magari na vifaru hadi zanzibar..

Pili ni hatarishi kwa sababu tuna ji expose kwa kiasi gani tupo hoi au vizuri.. kuna adui wanaiogopa Tanzania wakidhani tupo vizuri pengine tuna kimbiza F 16 jets , wanakuja kuona tuna operate vitenge na vifaru vya mrusi vya miaka ya 50.

Ni vyema serikali ikaachana na haya mambo, pia siku kama hizi zitumike kwa mambo muhimu walau hata usafi na upandaji miti.

Siku kama ya leo ya mapinduzi inatumia zaidi ya bil 4 kiasi cha fedha ambacho kinaweza jenga km 4 za lami au hospitalu 2 za wilaya.

Wote tunakumbuka barabara ya morocco hadi mwenge ilivyo jengwa kwa fedha za uhuru.
 
Natamani kutia neno lakini ''kama kuna nchi ambayo hakuna uhuru wa kuongea mambo ya siasa hasa kuikosoa serikali ni marekani'' hii nchi yangu marekani inamambo ya hovyo lakini eti inaongozwa na wasomi wa masters, akina dokta naniii.... mambo yao sasa........wanachowaza wao sio maendeleo ya nchi isipokuwa ninushindani wa vyama vya siasa na sifa tuuuu........
 
Tumeona leo huko zanzibar wanajeshi wakionyesha silaha, ujuzi na mambo mengine..

Hadi leo hawaja wahi eleza maana ya hii michezo, yaamkini baada ya uhuru miaka hiyo yalikua na maana...
Viongozi wamejawa na ulimbukeni, lakini wao wanadhani wanatisha raia
 
Tumeona leo huko zanzibar wanajeshi wakionyesha silaha, ujuzi na mambo mengine..

Hadi leo hawaja wahi eleza maana ya hii michezo, yaamkini baada ya uhuru miaka hiyo yalikua na maana.

Lakini leo ni kujichosha na kupoteza pesa za umma kusafirisha magari na vifaru hadi zanzibar..

Pili ni hatarishi kwa sababu tuna ji expose kwa kiasi gani tupo hoi au vizuri.. kuna adui wanaiogopa Tanzania wakidhani tupo vizuri pengine tuna kimbiza F 16 jets , wanakuja kuona tuna operate vitenge na vifaru vya mrusi vya miaka ya 50..

Ni vyema serikali ikaachana na haya mambo, pia siku kama hizi zitumike kwa mambo muhimu walau hata usafi na upandaji miti.

Siku kama ya leo ya mapinduzi inatumia zaidi ya bil 4 kiasi cha fedha ambacho kinaweza jenga km 4 za lami au hospitalu 2 za wilaya.

Wote tunakumbuka barabara ya morocco hadi mwenge ilivyo jengwa kwa fedha za uhuru.
Silaha zenyewe wanazo tumia ni za wakat wa Vita kuu ya Pili ya Dunia, Pia Vita isha badilika sana ,nchi zinawekeza sana kwenye sayansi, mambo ya Drone, Cyberwar na kadhalika.JWTZ sidhan kama wana hata Maabara ya utafiti, make kama akili zao nao zinawatuma kujenga Frame basi hakuna kitu pale, wanajua kutafuta sifa mtaani kupiga raia
 
Back
Top Bottom