SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 455
- 1,283
Nimeona mahali Mzungu mmoja anaishi Arusha analalamika sana kule Facebook, kwamba alienda Masai Mara kwa safari ya Private na gari lenye namba za Usajili za Tanzania wakamzuia kuingia Hifadhini.
Sasa kumbe ni kwamba wanazuia Magari yenye number za usajili za Tanzania pekee huku magari ya number za nchi zingine kama Uganda, South Africa, Rwanda na kadhalika yakiruhusiwa, wao wana dili na Magari ya Tanzania peke yake ni jambo la ajabu sana. Na kumbuka si kwamba wanazuia magari ya Tanzania yale ya Utalii hapana ni hata private, yaani una gari lako unataka kwenda Masai Mara hawakuruhusu kuingia ila ukawa na hari lina number za hata Zambia basi utaingia.
Swali ni je mbona wao wanaingia na magari yao hifadhi za Tanzania? Ifike wakati Watanzania tuache kujipendekeza sana kwa hawa jamaa, inaelekea tunajikomba sana kwao kuliko wao wanavyo jikomba kwetu. Hawa ni kweda nao vile wanavyo taka wao.
Hii inafanywa na Count ya Narok, yaani kwa Kenya ujue Jamii zina nguvu na zile higadhi zao kuliko jata Serikali yenyewe.