Nchi yetu inapitia kipindi kigumu kidogo kwa miongo kadhaa kiasi kwamba jambo hili limeota mizizi au linaota mizizi nalo ni katika kufanya mambo yetu tunaweka nafasi zetu au ubinafsi mbele kuliko...
Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni...
WATU WAMEKUA WAKIZITUMIA TAASISI HIZI KUTAFUNA PESA ZA WALIPA KODI KWA MIRADI ISIYO NA NYUMA WALA MBELE.
Mfano Tanroad waliwahi kujenga maagesho ya magari pale Mbezi kwa Msuguri baada ya mwaka...
Mamlaka za Marekani zimeipiga faini ya dola milioni 222 kampuni ya programu kwa kutoa rushwa katika nchi kadhaa za Afrika ikiwemo Tanzania, nchi nyingine ni Kenya, Afrika Kusini, Ghana, Malawi...
1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha.
2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu!
3. "Mwabukusi...
CHADEMA imetangaza kufanya MAANDAMANO TAREHE 23.
Katika hali ya kushangaza JWTZ nao tarehe hizo wamepanga kufanya usafI ingawa wangeweza kupanga tarehe nyingine ya kufanya huo usafi.
Hata hivyo...
Gervais Milton anatarajiwa kutangazwa kuwa Katibu Mkuu wa CCM kuchukua nafasi ya Chongolo. Pamoja na exposure yake akiwa mwana Diaspora bado hana nguvu nje ya mfumo wa siasa. Nguvu kubwa aliyonayo...
Watu huko CCM wameanza kufunguka, Kigwangala anakuambia kuna Viongozi wananunua majumba ya Dolla Million 6 kule Masaki ndani ya kipindi kifupi tangu wawe Viongozi.Hajawataja ni wakina nani hasa...
Mbowe ametangaza maandamano mkoa wa Dar es Salaam siku ya tarehe 24 January 2024 huku Makamu Mwenyekiti wa akiwa nchini Ivory Coast kuipa hamasa Taifa Stars.
Kwa mujibu wa Lissu atakuwa nchini...
Wanabodi,
Nimekutana na hili katika korido za Lumumba kwamba baada ya Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo kujiuzulu, Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kwenye wakati mgumu kumpata SG wa CCM...
Ikiwa Chalamila atafanya hivyo, tafsiri itakuwa hivi:-
1. Serikali haina nia njema kuelekea chaguzi zinazokuja huko mbeleni kwani kama Serikali ingekuwa na nia njema, badala ya kutumia nguvu...
Kipindi cha Kikwete Upinzani wameshinda sana chini ya usimamizi wa Wakurugenzi wa Halimashauri. Ni Magufuri ndio alikuja na vitisho kwa Wajurugenzi na kuwavuruga kabisa. Hawakuwaga na shida kwenye...
Katika interview aliyofanyiwa Bwana Kigwangala ameonyesha wasiwasi wa kuwa wanasiasa wenzake katika chama chake wanafanya kufuru ya wizi wa mali za umma kununua majumba katika maeneo...
Sijawahi kumwona Makonda akifanya mjadala wala mdahalo wowote wenye tija na usio na tija kuhusu chama chake na nchi kwa ujumla.
Leo anapoomba mdahalo anataka kutuambia ametambua umuhimu wa...
Kuna Mdau mmoja wa Kitengo aliwahi nitonya kwamba wakati wa Kampeni zile nguo za kuhonga wapiga kura, Tshirt, Kofia na Kanga huwa zinafanyiwa mazindiko makubwa sana ambayo anaye Vaa husahua kila...
Aliyeridhiana na CCM ni Freeman Mbowe na aliyegeukwa ni Yeye mwenyewe Mbowe kwa Sababu yeye ndio anajua walichoridhiana
Pia, Soma: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili...
Tusaidiane wananzengo, ilikuwa sahihi kwa Chalamila kusimama kanisani na kutoa tangazo la kisiasa kanisani? Anatamka mbele ya kanisa kwamba askari polisi 5000 watakuwa barabarani, anawaleta...
Sun Tzu ni mwandishi wa sanaa ya vita na mikakati ya kijeshi ninayempenda na anayesifika kwa falsafa na mawazo yaliyoathiri majeshi mengi ya magharibi na mashariki ya bara la Asia.
Miongoni mwa...
Sasa saa imefika kwa viongozi wetu wa Dini kutotenganisha Dini na Siasa.
Wakati umefika viongozi wetu wa Dini wasikubali tena kuambiwa eti Siasa haiwahusu wao kama viongozi wa Dini kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.