Jensen salamone
JF-Expert Member
- Sep 28, 2019
- 320
- 639
Licha ya serikali kujigamba kuongeza mshahara "annual increment" kuna baadhi ya makundi ya watumishi wa umma hususani walimu hawajanufaika na ongezeko Hilo.
Miongoni mwa makundi yaliyofanyowa ubaguzi ni pamoja na,
1. Walimu waliopandishwa vyeo tarehe 1/5/2023 kwa madai kwamba wanaendelea kutumikia na wapo katika matazamio ya vyeo vyao vipya hivyo wataendelea kusalia kwenye mshahara wa daraja jipya walilonalo Kwa sasa.
2. Walimu wa ajira mpya. Licha ya kwamba tangu wameripoti kwenye vituo vyao vya kazi mwezi June hawajanufaika Kwa chochote kwenye ongezeko Kwa madai kwamba hawajamaliza miezi 12 tangu kuajiriwa kwao na bado wapo kwenye muda wa matazamio.
Lakini itakumbukwa kuwa walimu hawa tangu wameripoti bado hawajalipwa stahiki zao zingine ikiwemo posho ya kujikimu na mishahara ya mwezi June n.k
3. Wakuu wa idara na vitengo. Ingawa Wana majukumu makubwa ya kiutendaji ya kusimamia idara wanazoziongoza lakini serikali haijawakumbuka kabisa kwenye suala la nyongeza ya mshahara Kwa kigezo cha kanuni za utumishi wa umma.
N:B, wakati mwingine kama ni nyongeza ya mshahara ni muhimu ikafanyika Kwa watumishi wote bila ubaguzi kwani wote ni watumishi wa serikali na wanafanya majukumu sawa na hao walioongezewa na kama ni inshu ya kibajeti ni Bora suala la nyongeza lingeachwa kwanza Hadi pale serikali itakapojipanga Kwa wakati mwingine.