Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rc wa dsm ndugu Chalamila anasema walemavu wote jijini wakamatwe!!!+ Namuomba ndugu yangu Chalamila akumbuke kuwa ulevu siyo jambo la kuomba bali ni matakwa ya Mungu. Chalamila kumbuka kuwa na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Mara Magesa Mulongo akiongea na wananchi wilaya ya Bunda amesema hakutakuwa na chakula cha msaada bali wanatakiwa walime, na kila mwananchi alime ekari kuanzia mbili za mihogo. Na...
7 Reactions
121 Replies
19K Views
Nimeona Rais wa Kenya Ruto amefuta visa entry requirement kwake. Kuna faida yeyote ya kiuwekezaji? Je dola 20 au 50 zilikua kikwazo kuingiza watu nchini? Kwamba kuna wawekezaji serious...
31 Reactions
230 Replies
15K Views
Maelfu ya wapalestina wengi wao wakiwa waislam na waandishi wa habari wameuawa na wanaendelea kuawa kila siku huko Gaza na majeshi ya Islaeri. Nchi yetu ina mahusiano ya kibalozi na Israel na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Hongera kwa hutuba yako ulioitoa Jumamosi tr 13 mwezi January kuhusu unafiki wa watawala kila mwenye akili zilizo salama atakua amekuelewa maongezi yako yanaonyesha kweli ulikua na nia njema...
3 Reactions
4 Replies
678 Views
Tumesikia maelekezo ya viongozi wa Chadema kwamba tarehe 24/1/2024 wataitisha maandamano nchi nzima kupinga muswada ya sheria ya uchaguzi na mwendo wa demokrasia nchini Kwa ujumla wake. Nashauri...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Wanabodi, Kazi Inaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa, Jumapili ya Leo, 11 September Kwa Maslalahi ya Taifa leo, inaendelea na sehemu ya pili ya Ijue Jumuiya ya Afrika Mashariki na Fursa za Mtangamano...
3 Reactions
20 Replies
7K Views
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani Mkoani Shinyanga amemuangukia Waziri wa Maji Jumaa Aweso akimuomba maji kwani Amesema Wilaya Majimbo yaote ya Mkoa wa Shinyanga yamefikiwa na Mji ya...
10 Reactions
72 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema hana taarifa za maandamano ya Chadema yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, mwaka huu akisema anachojua siku hiyo ni ya kufanya usafi...
5 Reactions
32 Replies
19K Views
Wanabodi Mimi mwanabodi mwenzetu Paskali Mayalla, nimerudi hewani kupitia kipindi kipya cha TV kiitwacho "KMT" ( Kwa Maslahi ya Taifa), ambacho kinarushwa na Kituo cha Televisheni cha Channel...
18 Reactions
127 Replies
8K Views
Nilifuatilia maelezo ya Menejimenti ya TPA hivi karibuni waliyoyatoa kupitia vyombo vya habari. Maelezo yao yalikuwa ni kwamba shehena imeongezeka zaidi ya matarajio yao kwa meli nyingi zaidi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Shehe Kundecha alichangia muswada wa sheria za Uchaguzi anasema alishangaa kumsikia mkuu wa mkoa mmoja kumwambia Rais wa Wakat huo kuwa mkoani Kwake hakuna Mgombea wa upinzani atakayeshinda...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu! Mimi ni kijana ambaye ni mzalendo na Mpenda kusimamia ukweli Kiufupi sina chama chochote cha siasa ila nimekuwa anti-CCM kwa Muda mrefu isipokuwa kipindi cha magufuli(mambo mengi...
1 Reactions
10 Replies
826 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024. Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Nitahakikisha hilo. Nami nipo hapa Dar es Salaam kuhudhuria vikao vya chama changu CCM kama mmoja wa mwalikwa. Uridhike na ulichopewa chamani. Ulipoteuliwa tu kuwa Mwenezi wa CCM, hima ukaanza...
75 Reactions
248 Replies
24K Views
Mimi bwana sipendi sana kuandika mambo ya siasa hizi za Bongo siku hizi sio kwasababu sipendi ila sipendi tu kuandika kuhusu hizi siasa uchwara. Ok ni hivi, acha niandike kwa ufupi kuhusu tamko...
3 Reactions
38 Replies
2K Views
Dk Emmanuel Nchimbi amemfutia shtaka la TZS 1 bilioni kada wa CCM James Mwakibinga baada ya kumtuhumu kuuza Viwanja 200 mali ya UVCCM. source:MWANANCHI Dk Nchimbi amfutia shtaka la Sh1 bilioni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Dkt. Emmanuel Nchimbi amerejeshwa Makao Makuu ya CCM kuongeza nguvu. Anakutana na Paul Makonda, anakutana na majalada yakutaka Sabaya na timu yake warejeshewe madaraka . Je, Nchimbi atakubali ana...
6 Reactions
32 Replies
5K Views
Hakuna shaka 2015 ulikuwa aina yake, hata kama Kinana alikataa kusema ulikuwa mgumu kuliko wa 1995 kama alivyonukuliwa Uchaguzi huo ulimpoteza moja ya wanasiasa nguli na vijana ndani ya Chama Dr...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Maandamano ya Mbowe ni kutaka kujiimarisha CHADEMA. The Moment Mbowe anamuacha Lissu kwenye kamati ya maridhiano 6 x 6 Lissu aliamua kufunga roho yake kwa kutokubaliana na maridhiano hata ndani...
1 Reactions
9 Replies
976 Views
Back
Top Bottom