Godbless Lema: Mkwamo wa maendeleo Tanzania hauletwi na Mungu wala Shetani; Unaletwa na CCM

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,105
Godbless Lema ameeleza kuwa, umaskini wa Tanzania auletwi na Mungu wala Shetani bali Unaletwa na CCM.

Katika kauli hii imepiga marufuku wote wanaoombe maendeleo ya nchi na wale wanaomkemea shetani akiwataka Watanzania kupambana na tatizo badala ya kumkabidhi Mungu na Shetani yasiyo wahusu.

Unakubaliana na mtizamo huu?
 
Back
Top Bottom