Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 877
- 4,106
Kupitia ukurasa wa X Mhe. Mwigulu nchemba ametaja safu itakayoongoza mchuano wa uchaguzi 2025. Amewataja Mh.SSH, Akamtaja Kinana, Mzee Mpango na Nchimbi huku yeye akijitabiria kuwa kiungo mchezeshaji.
Katika safu hii Waziri Mkuu anaonekana kutokupewa nafasi na Mwigulu kama ilivyo kwa Naibu wake. Tukitumia kauli ya wahenga ya limtokalo mtu ndilo lililomjaa means Majaliwa na Biteko siyo wachezaji sahihi.
Unadhani Mwigulu yupo sahihi? Mtizamo wake una tija?