Ni kama Rais Samia ameamua kumwachia Makonda nchi. Je hii inaashiria nini?

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,819
18,555
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda anazinguka nchi nzima akiwa kwenye msafara mkubwa wenye magari mengi ya kifahari na ving’ora utadhani yeye ni kati ya wale viongozi wa juu kabisa wa nchi hii yaani rais, makamu wa rais au waziri mkuu.

Msafara wa Makonda wakati mwingine ni mkubwa kuliko wa waziri mkuu au hata rais!

Makonda akifika aendako watendaji wote wa serkali kama wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa mikoa na wilaya., maengineer, na hata mawaziri wanapaswa kuwepo tayari kujibu maswali.

Linaloshangaza ni kwa Makonda kuwaamrisha hao wakuu wa mikoa na mawaziri au hata waziri mkuu kama vile yeye ndiye rais wa nchi!

Utaratibu huu mbovu unaashiria nini?

Inaonekana mama Samia anataka kufanya siasa za Magufuli ila:

Pengine haziwezi,
Hazipendi lakini anajua zitamsaidia,
Au anataka kukwepa lawama zinazotokana na siasa hizo. Kwa ujumla jambo hili linaashiria udhaifu mkubwa wa kiuongozi wa rais Samia na utayari wake kufanya lolote ili mradi mambo yamwendee sawa.

Ukweli ni kwamba viongozi na wananchi wengi wanaghafilishwa na mambo haya ila hawana la kufanya.

Kupitia CCM wananchi wanaendelea kupoteza fedha nyingi na kulishwa maigizo ya kisiasa bila wao kujitambua vizuri wala kupata faida yoyote!
 
Linaloshangaza ni kwa Makonda kuwaamrisha hao wakuu wa mikoa na mawaziri kama vile yeye ndiye rais wa nchi!

Au anataka kukwepa lawama zinazotokana na siasa hizo.

Ukweli ni kwamba viongozi wengi wanaghafilishwa na mambo haya ila hawana la kufanya.

Sidhani kama JWTZ wanapenda hii kitu, ......... mwenye akili angelimkemea huyu mtu
 
Wewe hujui itifaki za Wakuu wa Chama

RC na DC ni wajumbe wa CCM Mkoa na Wilaya ,Makonda ni bosi wao.

The only difference ni kwamba Makonda Kwa Sasa anatoa maagizo ya kichama ambayo ni halali na lazima viongozi wa Serikali wayatekeleze.

Mwisho Samia anataka ajue exactly matatizo ya watu Kwa sababu amekuwa akidanganywa na hao hao Wasaidizi na hivyo kampa hiyo kazi Makonda na security Juu ndio maana wanamtetemekea ,akiwakataa anamwambia tuu Rais wanaondoka.

View: https://twitter.com/Jambotv_/status/1749450836017655951?t=gDGgLUoKdGx5g2R1YJR3zA&s=19

View: https://twitter.com/ccm_tanzania/status/1749410414956314761?t=Q4sXe__LqRLKsWF7-HBrlA&s=19
 
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda anazinguka nchi nzima akiwa kwenye msafara mkubwa wenye magari mengi ya kifahari na ving’ora utadhani yeye ni kati ya wale viongozi wa juu kabisa wa nchi hii yaani rais, makamu wa rais au waziri mkuu.

Msafara wa Makonda wakati mwingine ni mkubwa kuliko wa waziri mkuu au hata rais!

Makonda akifika aendako watendaji wote wa serkali kama wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa mikoa na wilaya., maengineer, na hata mawaziri wanapaswa kuwepo tayari kujibu maswali.

Linaloshangaza ni kwa Makonda kuwaamrisha hao wakuu wa mikoa na mawaziri kama vile yeye ndiye rais wa nchi!

Inaonekana mama Samia anataka kufanya siasa za Magufuli ila:

Pengine haziwezi,
Hazipendi lakini anajua zitamsaidia,
Au anataka kukwepa lawama zinazotokana na siasa hizo.

Ukweli ni kwamba viongozi wengi wanaghafilishwa na mambo haya ila hawana la kufanya.

Kupitia CCM wananchi wanaendelea kupoteza fedha nyingi na kulishwa maigizo ya kisiasa bila wao kujitambua vizuri wala kupata faida yoyote!
Paul Makonda ni katibu mwenezi wa chama kikubwa duniani. Yaani hata hiyo misafara ni njia mojawapo ya kukifanya chama kijulikane. Mtakoma
 
Nchi imekuwa ya kuhuni huni tu. Hakuna maelekezo serious ya Rais kuhusu changamoto nyingi zinazokabili. Mvua mafuriko, lakini huwezi kusikia Rais anatoa maelekezo zaidi ya Makonda na Chalamila kuropoka ropoka
Rais Huwa hapayuki payuki ovyo.Alishatoa maelekezo siku nyingi sana na ndio maana unaona Wananchi wanapongeza jitihada za Watendaji kurekebisha Hali.

Sasa sijui wewe unatakaje
 
Nchi imekuwa ya kuhuni huni tu. Hakuna maelekezo serious ya Rais kuhusu changamoto nyingi zinazokabili. Mvua mafuriko, lakini huwezi kusikia Rais anatoa maelekezo zaidi ya Makonda na Chalamila kuropoka ropoka
Yaani wapinzani yaani uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana kama wa panzi. Mlimuita Dkt Kikwete dhaifu, akaja Dkt Magufuli mkamuita dikiteta, akaja Dkt Samia mkamuita siyo msikivu, kaja Makonda anasikiliza kero za wananchi na kutatua hizo kero kupitia chama eti mnamuita hafuati sheria yaani hakika nyie ni watoa taarifa
 
..Ni maigizo tu hakuna lolote la maana linalofanyika.

..Makonda ameshafanya ziara kanda ya ziwa.

..Sasa jiulize kama maisha yao yameboreka, au kama yataboreka kutokana na ziara hiyo.
Wewe akili zako ni kama kuku.Kwa hiyo ziara yake haikutatua Changamoto?

Maisha yanaboreka Kwa siku Moja? Nyie Machadomo Toka mumeanza Kuzunguka mumeboresha maisha ya watu?
 
Bila shaka wewe itakuwa ni wale wanaofanya kazi kwa mazoea na umeshaona moto unaoendelea kuwashwa na Mheshimiwa Makonda.kwa hiyo hofu imekushika ya kuumbuliwa uZembe wako. Wananchi wana endelea kimiminika na kufurika kwenye mikutano ya Makonda kwa sababu wana imani na matumaini makubwa sana na Mheshimiwa Makonda aliye mtetezi wa wanyonge na sauti ya wanyonge.

Huo ndio uimara wa CCM Ambayo ndiyo yenye serikali .haitaki uzembe wala kulea wazembe. Kama wewe umezoea uzembe na kufanya mambo kwa mazoea basi tambua ya kuwa hautasalimika na ni lazima uende na maji.

Mheshimiwa Rais Anaendelea kufuatilia ziara za Mheshimiwa Makonda ambaye ni msemaji wa chama na kuona kila kinachoendelea na lazima afyeke watu atakakoona kuna malalamiko mengi ya wananchi.
 
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda anazinguka nchi nzima akiwa kwenye msafara mkubwa wenye magari mengi ya kifahari na ving’ora utadhani yeye ni kati ya wale viongozi wa juu kabisa wa nchi hii yaani rais, makamu wa rais au waziri mkuu.

Msafara wa Makonda wakati mwingine ni mkubwa kuliko wa waziri mkuu au hata rais!

Makonda akifika aendako watendaji wote wa serkali kama wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa mikoa na wilaya., maengineer, na hata mawaziri wanapaswa kuwepo tayari kujibu maswali.

Linaloshangaza ni kwa Makonda kuwaamrisha hao wakuu wa mikoa na mawaziri au hata waziri mkuu kama vile yeye ndiye rais wa nchi!

Utaratibu huu mbovu unaashiria nini?

Inaonekana mama Samia anataka kufanya siasa za Magufuli ila:

Pengine haziwezi,
Hazipendi lakini anajua zitamsaidia,
Au anataka kukwepa lawama zinazotokana na siasa hizo. Kwa ujumla jambo hili linaashiria udhaifu mkubwa wa kiuongozi wa rais Samia na utayari wake kufanya lolote ili mradi mambo yamwendee sawa.

Ukweli ni kwamba viongozi na wananchi wengi wanaghafilishwa na mambo haya ila hawana la kufanya.

Kupitia CCM wananchi wanaendelea kupoteza fedha nyingi na kulishwa maigizo ya kisiasa bila wao kujitambua vizuri wala kupata faida yoyote!
Tuseme tuu ukweli, Chadema wanamuogopa sana Makonda na anavyojaza watu huko wakielezea shida zao inawauma sana 😁😁😁😁

Samia anajua kucheza na akili na anajua wapi pa kutokea 🤪🤪
 
Tanzania Hatujui Kesho yetu Ni ipi
Hali tulonayo leo Nimbaya na Hata Ukiwazia yakesho ndio Tunachoka Zaidi
 
Paul Makonda ni katibu mwenezi wa chama kikubwa duniani. Yaani hata hiyo misafara ni njia mojawapo ya kukifanya chama kijulikane. Mtakoma

..Makonda hana mamlaka na bajeti ya serikali.

..hawezi kuamrisha fedha za serikali zipelekwe mahali popote.

..Magufuli alikuwa anaweza kufika eneo fulani ukakuta kero na akaitatua kwa kutoa maelekezo fedha zipelekwe ktk eneo hilo lenye kero.

..Makonda ni mpiga simu tu kwa Mawaziri hakuna cha maana anachofanya zaidi ya kuwachota wajinga akili.
 
Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda anazinguka nchi nzima akiwa kwenye msafara mkubwa wenye magari mengi ya kifahari na ving’ora utadhani yeye ni kati ya wale viongozi wa juu kabisa wa nchi hii yaani rais, makamu wa rais au waziri mkuu.

Msafara wa Makonda wakati mwingine ni mkubwa kuliko wa waziri mkuu au hata rais!

Makonda akifika aendako watendaji wote wa serkali kama wakuu wa mikoa, wilaya, wakurugenzi wa mikoa na wilaya., maengineer, na hata mawaziri wanapaswa kuwepo tayari kujibu maswali.

Linaloshangaza ni kwa Makonda kuwaamrisha hao wakuu wa mikoa na mawaziri au hata waziri mkuu kama vile yeye ndiye rais wa nchi!

Utaratibu huu mbovu unaashiria nini?

Inaonekana mama Samia anataka kufanya siasa za Magufuli ila:

Pengine haziwezi,
Hazipendi lakini anajua zitamsaidia,
Au anataka kukwepa lawama zinazotokana na siasa hizo. Kwa ujumla jambo hili linaashiria udhaifu mkubwa wa kiuongozi wa rais Samia na utayari wake kufanya lolote ili mradi mambo yamwendee sawa.

Ukweli ni kwamba viongozi na wananchi wengi wanaghafilishwa na mambo haya ila hawana la kufanya.

Kupitia CCM wananchi wanaendelea kupoteza fedha nyingi na kulishwa maigizo ya kisiasa bila wao kujitambua vizuri wala kupata faida yoyote!
Hajamwachia

Cdm mbona kama mnamwogopa saba makonda?
 
Back
Top Bottom