Upendo Peneza wa CHADEMA atoboa siri ya CHADEMA na Sabodo

East African Eagle

JF-Expert Member
Jul 26, 2013
3,759
2,205
Mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia BAWACHA Bi UPENDO PENEZA akihojiwa katika kipindi cha STAR TV cha vijana na siasa tarehe 17/11/2014 kasema kuwa TAJIRI SABODO alitoa mamilioni ya hela kwa Ajili ya ujenzi wa Chuo cha siasa cha CHADEMA.
Swali langu ni je CHADEMA ujenzi wa hicho chuo hicho umefikia wapi? Na kiko eneo lipi? Wilaya gani na mkoa gani? Walau kiwanja mmeshanunua au mmekula hela za mzee wa watu? Nitashukuru sana nikipata majibu.

Nitashukuru sana endapo nitapewa hilo jibu
Wenu mtiifu EAST AFRICAN EAGLE
 
Who the hell are you? LB7 mnababaika sana na maisha....karibuni yatawashinda muanze kuokota makopo ya maji..
 
Upendo Furaha Peneza Hongera sana kwa kuongea yaliyo moyoni mwako! Hii ina dhihirisha kuwa pesa nyingi huko chadema zinaliwa chini ya uongozi wa Dr.W.Slaa na Mbowe na katika hili ujiandae kuitwa msaliti au kupigwa na tofali na Mwenyekiti wa chadema baunsa!

Hiki chama kimeshindwa kujenga ofisi kweli kiweze kujenga chuo hahahaha hivi ni vichekesho...pesa zinaliwa na watu wanapata hati chafu wana chama hawaulizi maana wana waogopa Mbowe na Slaa!

Wewe ni binti Mrembo na mjasiri hongera sana na kila siku natamani uache siasa kabisa lakini naamini hipo siku utaacha!

Vijana kama nyie mnaosema ukweli ndani ya chadema hamuhitajiki na mtaonekana wasaliti...yani watu wanapewa pesa nyingi watu wanazitafuna halafu vijana wa bavicha wamenyamaza tuuuu....

Upendo Furaha Peneza wewe ni mkombozi wa bavicha kabisa lakini sijui kama watakuvumilia kabisa...
Habari hizi zimfikie Rose Mayemba popote alipo!
 
Last edited by a moderator:
Mjumbe wa mkutano mkuu wa CHADEMA kupitia BAWACHA Bi UPENDO PENEZA akihojiwa katika kipindi cha STAR TV cha vijana na siasa tarehe 17/11/2014 kasema kuwa TAJIRI SABODO alitoa mamilioni ya hela kwa Ajili ya ujenzi wa Chuo cha siasa cha CHADEMA.
Swali langu ni je CHADEMA ujenzi wa hicho chuo hicho umefikia wapi? Na kiko eneo lipi? Wilaya gani na mkoa gani? Walau kiwanja mmeshanunua au mmekula hela za mzee wa watu? Nitashukuru sana nikipata majibu.

Nitashukuru sana endapo nitapewa hilo jibu
Wenu mtiifu EAST AFRICAN EAGLE

Pesa imeshaliwa hakuna mwenye muda wa kununua kiwanja.
 
Akina NguruVi3 na Mchambuzi sehemu kama hizo hawaonekanagi kutolea ufafanuzi. We subiri uletwe uzi wenye jina la Zitto Kabwe hata kama ni upuuzi uone wanavyotoa mapovu.
 
Hii single imwchuja haya kabla haijauza...magamba mnasumbuliwa na ugonjwa wa tezi dume
 
Watu watatu mnajitekenya na kucheka wenyewe nyama ya mbavu nyie....tunataka hela za escrow whats ever you call it na sio chadema.

Wewe unamsemea sabodo kama katoa zikaliwa mbona hawashitaki na mbona anatoa kila siku?
 
Back
Top Bottom