Tetesi: Jumuiya za Kimataifa kutoa tamko kuhusu maandamano ya CHADEMA

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Leo nilifika Ubalozi wa Marekani kwa shughuli yangu binafsi. Nimekutana na jamaa yangu mfanyakazi wa Ubalozi huo. Ameniambia baada ya Mbowe kufanya mazungumzo na Ubalozi huo kuhusu masuala ya demokrasia na siasa za Tanzania, Marekani imemuunga mkono.

Na baada ya Mbowe kuondoka Balozi huyo aliongea na Ubalozi wa Uingereza na EU na kwa pamoja wamekubali hoja za Chadema na kwamba maandamano ni haki yao.

Kwamba wikiendi hii watatoa tamko la pamoja kusimama na Chadema. Tayari raia wa nchi hizo Yani USA, Uingereza na EU wameambiwa tarehe 24/1/2024 wasalie majumbani maana Polisi na Askari kanzu tayari wamepewa maelekezo kutumia silaha za moto kuua ili kuwatisha waandamanaji. Swali ni je, watauawa watu Gani?

Pia Ubalozi huo umemsihi Mbowe kuwaelekeza waandamanaji kuheshimu mali za watu, kuepuka vurugu na unawasiliana na Deep State kuyaruhusu.

Ikumbukwe Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Paul Makonda ni miongoni mwa wanaopinga maandamano hayo ilhali akijua hatakiwi katika nchi hizo kwa tuhuma ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu. Maandamano haya yakikabiliwa na Polisi inaweza kutuletea hathari Hadi katika jumuiya hizi ambao ndio wabia na wahusani wetu kiuchumi kupitia WB na IMF.

My take: Hekima itumike kuyafanya maandamano haya kuwa ya amani. Lakini tayari macho ya Dunia Yako jijini Dar es salaam tarehe 24/1/2024 ambapo inategemewa watu zaidi ya milioni moja kuandamana. Hata Polisi hawana risasi milioni moja. Tuepuke ya Ghaza.
 
Maandamano ni haki ya raia kikatiba.

Tushajipanga kutimiza haki yetu kikatiba.
 
At least Watanzania aataanza kuona nuru ya ukombozi.

Hongera CHADEMA kaa kusimama na Tanzania
 
Pia kuna nafasi ya vyombo vya polisi vya kimataifa vikamtia mkononi Makonda ili akajibu tuhuma zilizo mfanya apigwe marufuku kukanyaga kwao.
 
Haya ambayo hayapo?😂😂😂😂

Itakua jumuiya ya kimalaika
 
Hata kama balozi wa akhela na peponi watatoa matamko chadema hawawezi kamwe kuandamana,by the way hao mabalozi hawawezi kutuamulia juu ya swala jema na baya ndani ya nchi yetu

Walishindwa kutoa tamko enzi za Hon. JPM waje watoe sasa hivi kuwaunga ngenge la wahuni chadema !?
 
Pia kuna nafasi ya vyombo vya polisi vya kimataifa vikamtia mkononi Makonda ili akajibu tuhuma zilizo mfanya apigwe marufuku kukanyaga kwao.
Kijana kajimaliza kipumbavu kwa uroho wa sifa
 
Hata kama barozi wa akhera at na peponi watatoa matamko chadema hawawezi kamwe kuandamana,by the way hao mabarozi hawawezi kutuamulia juu ya swala jema na baya ndani ya nchi yetu

Walishindwa kutoa tamko enzi za Hon. JPM waje watoe sasa hivi kuwaunga ngenge la wahuni chadema !?
Weww umeshika bunduki kisha sisi tumeshika matawi alama ya amani.

Enselea na huo upuuzi wako tutakutana tu
 
Hata kama barozi wa akhera at na peponi watatoa matamko chadema hawawezi kamwe kuandamana,by the way hao mabarozi hawawezi kutuamulia juu ya swala jema na baya ndani ya nchi yetu

Walishindwa kutoa tamko enzi za Hon. JPM waje watoe sasa hivi kuwaunga ngenge la wahuni chadema !?
Hujui ulisemalo na hujui vikwazo alivyowekewa Jiwe Hadi nchi kufilisika bila kuambiwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom