Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 37,681
- 46,364
Naamini maandamano ni haki ya kikatiba ya raia Tanzania ila hii haki inavyotaka kutekelezwa ndio inaleta maswali.
Maandamano kuelekea UN mnataka kufikisha ujumbe gani na kwa walengwa wapi?
Kumbukeni UN hawatakiwi kujihusisha na siasa za ndani ya nchi kama masuala ya Katiba mpya, pia sio kila kitu chenu kwenye katiba mpya UN wanaunga mkono, kuna mambo hawatakubaliana na nyie kama kuharamisha ushoga na kuufanya jinai.