Licha ya Serikali kufanya juhudi kubwa, bidhaa ni ghali sana

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,718
Wananchi wanashindwa kumudu gharama za maisha. Sijasema nasapoti maandamano. Kusapoti kwangu naona Kama ni kuruhusu, na mimi siyo kazi yangu kuruhusu au kutoruhusu maandamano. Mwenye kazi hiyo ataifanya.

Mimi natoa my honest opinion kwamba vitu vimekuwa nei ghalo sana. Halafu jana tumeona Mwanza wake wafanyabiashara wamekamatwa, wameficha sukari, godown limejaa sukari.

Halafu Makonda anasema Ana Imani akiongea ma Chadema atafanikiwa kuwashawishi waache maandamano, wakati wafanyabiashara Mwanza wanaficha sukari, wakati Kyle nadhani ndio nyumbani kwake. Sasa yule mdada aliyewakamata anasema atawachukulia hatua za kinidhamu. That is fine. Lakini kama tulivyokuwa tunasema wakati wa Magufuli, "Kama wale wanajua Serikali haina masihara (na wahalifu), kwa nini wamefanya makosa?"

Again, tunaona panic kuhusu maandamano ambayo siyo tishio kwa Serikali. Siyo kama maandamano ya Raila. Lakini kuruhusu au kukataza maandamano siyo kazi yetu.

Wafanya biashara wanapinga maandamano. Of course wanapinga. Hao si ndio wanaotuuzia vitu bei ghali?
Na waendesha bodaboda wanapinga maandamano. Ndio hao hao wagomvi wetu.

Kuruhusu au kukataza maandamano siyo kazi yangu. Mtu anaweza kufikiria maandamano yanaondoa heshima ya Rais.
Hapa naongea kuhusu gharama ya chakula na vitu muhimu. Siongelei kuhusu smart phone.
 
😏
20230922_140926.jpg
 
huwa najiuliza hivi maandamano huwa yanawapunguzia nini watawala, kwa nini huwa hawayaruhusu na wanakuwa kinyume nayo sana, ni vipi maandamano yanayoitwa ya amani yaweze kuhatarisha usalama wa taifa au madaraka ya watawala?
 
Back
Top Bottom