CHADEMA wakiwa kwenye Maandalizi ya Kufanya maandamano

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Kuelekea maandamano ya kesho kutwa huku tayari maandalizi ya kuwakumbusha mamilioni ya wazalendo yamekamilika.

Tunavyosemaga kuwa CDM ni mpango wa Mungu kuja kuwakomboa Watanzania muwe mnaelewa.

Vivaaaa,Vivaaaaa,Vivaaa...CHADEMA....

 
Endeleeni kufanya maigizo huku wanachama wenye akili wakiendelea kukihama chama na kuwaacha wajinga wajinga na msio jitambua kama wewe.ambao mnaendeshwa na kuburuzwa kama ng'ombe wa mnadani. Hakuna mwenye akili timamu anayeweza kukaa kwenye chama kisicho na muelekeo na mipango zaidi ya kufanya mikakati ya kuneemesha matumbo yao.
 
Back
Top Bottom