Nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,892
3,196
Asalaam Aleykum wapenzi wana jamvi.

Leo wakati nafuatilia sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, nimesikia baadhi ya viongozi wa EAC wakisisitiza suala la umoja baina yetu. Nafikiria walimaanisha wanatamani kuiona EAC siku moja inaungana na kuwa nchi moja.

Sasa swali langu ni nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

A. H.E Paul Kagame Rais wa Rwanda
B. H.E Dk. William Ruto Rais wa Kenya
C. H.E Yowel Museven Rais wa Uganda
D. H.E Evariste Ndayishimiye Rais wa Burundi
E. H.E Dk. Hussein Mwinyi Rais wa
Zanzibar
F. H.E Samia Hassani Rais wa Tanzania
G. H.E Salva Kiir Rais wa Sudani Kusini
H. H.E Felix Tshekedi Rais wa DRC
I. H.E Hassan Sheikh Mohamud Rais wa Somalia

NOTE:
Naomba mods kama hawatojali, watuwekee ile setting ya kuonesha asilimia
 
IMG-20231227-WA0439.jpg
 
E. H.E Dk. Hussein Mwinyi Rais wa Zanzibar
F. H.E Samia Hassani Rais wa Tanzania
G. H.E Salva Kiir Rais wa Sudani Kusini
H. Rais wa Somalia (jina nimesahau)
NOTE:
Naomba mods kama hawatojali, watuwekee ile setting ya kuonesha asulimia
Wa Zambia angekuwemo kwenye list, kwa maoni yangu ndiye sawa.
 
Asalaam Aleykum wapenzi wana jamvi.

Leo wakati nafuatilia sherehe za miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar, nimesikia baadhi ya viongozi wa EAC wakisisitiza suala la umoja baina yetu. Nafikiria walimaanisha wanatamani kuiona EAC siku moja inaungana na kuwa nchi moja.

Sasa swali langu ni nani anastahili kuwa Rais wa EAC endapo tutaungana na kuunda nchi moja?

A. H.E Paul Kagame Rais wa Rwanda
B. H.E Dk. William Ruto Rais wa Kenya
C. H.E Yowel Museven Rais wa Uganda
D. H.E Evariste Ndayishimiye Rais wa Burundi
E. H.E Dk. Hussein Mwinyi Rais wa
Zanzibar
F. H.E Samia Hassani Rais wa Tanzania
G. H.E Salva Kiir Rais wa Sudani Kusini
H. H.E Felix Tshekedi Rais wa DRC
I. Rais wa Somalia (jina nimesahau)

NOTE:
Naomba mods kama hawatojali, watuwekee ile setting ya kuonesha asilimia
Hassan Sheikh Mohamud Rais wa Somalia
 
H.E Paul Kagame akili kubwa yule jamaa

H.E Hussein Mwinyi vice president akili kubwa yule jamaa anaharibiwa na maccm tu.

H.E William Ruto prime minister! lazima mnyooke hakuna machawa hapo wapiga dili ndo mwisho wao ndani ya miaka 5 tutakuwa mbali sana.

Halafu Kagame ni commando kutoka America hafi kifara ni kachero wa kimataiafa.

Hao wakina Museven, Kisekedi, Ndayishimiye na yule mzee S.Sudan Salva Kirr achana nao hamna watu humo.
 
Back
Top Bottom