Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Vizimba na kugawa Boti za Kisasa - Eneo la Bismarck Rock mkoani Mwanza, leo tarehe 30 Januari, 2024 katika ziara ya kikazi ya...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 14, Kikao cha 2, leo Januari 31, 2024. https://www.youtube.com/live/aKnZBQWXD_o?si=nsUmxYJmKTyrVV5i "Mchango wangu unajielekeza katika Muswada...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Watumishi wanauza vifaa tiba vya hospitali , zahanati nyingi zimegeuka magofu, tunaombwa rushwa kila kona ndiyo upate huduma. Timu Magufuli pamoja na mapungufu yao ya kibinadamu, lakini ndiwo...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naibu Waziri wa Ujenzi anesema Serikali itajenga Mifereji ya Maji kutoka Boko Basihaya na Tegeta hadi mto Tegeta na Maji ya mvua kupelekwa Baharini Ahadi ya Serikali imefuatia ombi la mbunge wa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakala wa Barabara nchini ( TANROADS) mkoa wa Tabora imeanza zoezi la kuondosha kwa kufyeka mazao yote ambayo yamelimwa na wakulima katika hifadhi za barabara. Zoezi hilo utekelezaji wake umeanza...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Katika Historia ya TANZANIA Kuna huu UHALIFU MKUBWA umetokea lakini mpaka Leo JESHI la POLISI limeshindwa KUWAKAMATA WAHUSIKA. Uhalifu huo ni: 1. Kutekwa kwa Mfanyabiashara MO DEWJI 2. Kupigwa...
10 Reactions
76 Replies
4K Views
Bodaboda mkoani Mwanza wamemzawadia Rais Samia Suluhu ng’ombe ikiwa ni shukurani zao kwa juhudi kubwa anazofanya. 📹 SwahiliTimes
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Wadau nawasalimu. Nchi yetu ilipitia matukio makubwa ya kihalifu miaka kadhaa hapo nyuma. Kupitia jeshi la polisi uchunguzi wa uhalifu huo mpaka sasa wahalifu hawajapatikana wala kukamatwa.Uhalifu...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Vijana wengi wa mjini wanamuita mtoto wa mjini maana kwenye medani za siasa mnaweza kucheka naye akikulia timing unakwisha habari yako. Huyu kiongozi kiujumla Hana makuu kabisa ila makuu yake...
15 Reactions
92 Replies
26K Views
Ilikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa primary school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia CCM na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi...
44 Reactions
202 Replies
10K Views
Chama Cha Mapinduzi kimeanza kugawa Ilani yake mpya na sasa kimefikia ngazi ya chini kabisa ya matawi toka juu. Haikufahamika mapema kama wadau wengine wa chaguzi vikiwemo vyama vya siasa navyo...
1 Reactions
6 Replies
594 Views
Akiwa Simiyu amesema kuna watu walipika majungu kwa muda mrefu kwamba "wale" ni wabaya lakini hawakuweza hata kufanya kazi walipopewa nafasi hali iliyopelekea yeye aitwe kukaa hapo. Amesema sasa...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Mbunge wa jimbo la Kiteto ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria Edward Olelekaita amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haikubainisha Tume ya...
0 Reactions
0 Replies
691 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rasmi sasa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa Mheshimiwa Dkt Mama Samia Suluhu Hasssan ametimiza umri wa miaka 64 kutokana na kuwa alizaliwa siku ya jumatano ya tarehe 27...
7 Reactions
26 Replies
2K Views
Ndugu Bashe ni waziri aliyetokana na ubunge, Katiba yetu inampa Mh. Rais kuchagua mawaziri wanaotokana na chama chake Kwa sababu hiyo, Ndugu Bashe asisahau kwamba, yeye ni mbunge aliyetokana na...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Bashe NI kiongozi ambaye amejawa kiburi na dharau kwani Hana sababu za msingi za kusema yeye ana mabosi Wanne tu ndio wakuongea nao ajuwe kazi aliyonayo ni yakuhudumia umma na nafasi aliyonayo...
0 Reactions
5 Replies
617 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Daniel Shonza ameendelea na ziara yake katika Wilaya ya Ileje Kata ya Ibaba kwa lengo la kuzungumza na wananchi na kusikiliza kero za wananchi na...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Sisi wananchi tu tunawashangaa Tazara, vipi wageni wanajisikiaje? Treni ilikuwa iondoke saa saba ila mpaka saa hizi wanatutangazia mpaka saa 12, na hapo ni danadana tu zinaendelea. Nimeambiwa...
3 Reactions
8 Replies
675 Views
Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake...
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…