Bashe: Mimi mabosi wangu ni wanne tu hakuna mwingine je chama kilichokufanya uwe hapo nani ana kitetea kwa yale unayofanya?

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Bashe NI kiongozi ambaye amejawa kiburi na dharau kwani Hana sababu za msingi za kusema yeye ana mabosi Wanne tu ndio wakuongea nao ajuwe kazi aliyonayo ni yakuhudumia umma na nafasi aliyonayo inatokana na yeye kuwa mbunge kisha kuteuliwa na raisi kuwa waziri kwa ajiri ya kuhudumia wananchi!
Mambo kadhaa anayotakiwa ayafahamu cha kwanza kabisa

1.Ajue raisi anapatikana kwa Kura kutoka kwa wananchi.

2.pili raisi anapatikana kupitia kwenye chama cha siasa
3 wabunge pamoja na raisi wote waneajiruwa na wananchi.

Hivyo kitendo cha kusema yeye ana mabosi WA nne Tu basi anamaanisha mwenezi ambaye ni msemaji wa chama Hana lolote la kumwambia kitendo hicho hata kama mwenezi atakutana na kero zinazohusiana na wizara yake hapaswi kumwambia,

Je kama utendaji utakuwa WA hivo chama kitakuwa Hali gani na je kitapata ushawishi kwenye jamii
Hivi pakiwepo mawaziri kumi Aina ya bashe chama kitakuwa katika Hali gani kisiasa ? Bashe endelea kuvimbishwa kuchwa na wapinzani kwa kuitwa akili kubwa na hizo sifa ndoo kwako zimefika lakini ujue siku ya kufa nyani miti huteleza .

Ushauri wangu kwako usibishane na mwenezi kwani mwenezi ndiye anayekitaftia Kura chama kilichokuweka hapo kwenye nafasi uliyonayo ,,! Wananchi wanahitaji wanahitaji huduma Bora hawahitaji porojo kama unazosema.

Mama anawachora Tu lakini hamjui ataamua nini!
 
Bashe NI kiongozi ambaye amejawa kiburi na dharau kwani Hana sababu za msingi za kusema yeye ana mabosi WA nne tu ndio wakuongea nao ajuwe kazi aliyonayo NI yakuhudumia umma na nafasi aliyonayo inatokana na yeye kuwa mbunge kisha kuteuliwa na raisi kuwa waziri kwa ajiri ya kuhudumia wananchi!

Mwenezi hana cha kumwambia wala mamlaka ya kumhoji waziri. Kama kuna mahala mwenezi anaona hapako sawa, basi either amtafute nje ya hiyo mikutano yake au apeleke taarifa kwenye vikao vya Chama, hivyo mdivyo vina iwezo wa kuomna majibu ya serikali kuhusiana na utendaji wa Waziri.

Ni mawaziri Makapuku vichwani ndiyo wanaweza kupelekeshwa na aina ya mtu mwenue Leadership teenage and puberty.

Kwamba Chama ndiyo kinatafuta kura hicho si kigezo cha kumfanya kila aliye ndani ya Chama awapande watendaji serikalini. Kwenye Chama watu wanafuata tiketi na mengineyo, lakini sehemu kubwa hufanywa ma hao wagombea, rushwa, uuaji, utekaji, wizi, ushirikina n.k
Yeye mwenyewe alipokuwa RC alikuwa akimdharau polepole kwa madai hayohayo kwamba yeye ameteuliwa na rais...na aliweka wazi kwamba yeye ni mtu mmoja tu anayemuogopa na kumheshimu nchini.

Sasa si afadhali hata ya Bashe aliyewatambua wote hao kuwa anawajibika kwao?
 
Sasa si afadhali hata ya Bashe aliyewatambua wote hao kama anawajibika kwao?
Bashe badilika aise hii ni I'd yako cheki upepo unapoelekea Acha kushupaza shingo.
 
Hivi huwa mnatumia akili kweli? Kwamba watu waishi kwa hofu ya kubadilika kwa upepo?
Kama kungekuwa na chochote kupelekea kubadilika, basi tungeshuhudia mabadiliko yakianza na Katiba, kinyume na hapo tambueni kwamba anachoweza kukifanya mpuuzi mmoja au kikumdi cha watu fulani ni maigizo na ngonjera za kujiongezea mileage ya kuweza kumtoa Muhimbili-Upanga hadi Mloganzila.
 
Bashe NI kiongozi ambaye amejawa kiburi na dharau kwani Hana sababu za msingi za kusema yeye ana mabosi WA nne tu ndio wakuongea nao ajuwe kazi aliyonayo NI yakuhudumia umma na nafasi aliyonayo inatokana na yeye kuwa mbunge kisha kuteuliwa na raisi kuwa waziri kwa ajiri ya kuhudumia wananchi!
Mambo kadhaa anayotakiwa ayafahamu cha kwanza kabisa
1.Ajue raisi anapatikana kwa Kura kutoka kwa wananchi.
2.pili raisi anapatikana kupitia kwenye chama cha siasa
3 wabunge pamoja na raisi wote waneajiruwa na wananchi.

Hivyo kitendo cha kusema yeye ana mabosi WA nne Tu basi anamaanisha mwenezi ambaye ni msemaji wa chama Hana lolote la kumwambia kitendo hicho hata kama mwenezi atakutana na kero zinazohusiana na wizara yake hapaswi kumwambia,
Je kama utendaji utakuwa WA hivo chama kitakuwa Hali gani na je kitapata ushawishi kwenye jamii
Hivi pakiwepo mawaziri kumi Aina ya bashe chama kitakuwa katika Hali gani kisiasa ? Bashe endelea kuvimbishwa kuchwa na wapinzani kwa kuitwa akili kubwa na hizo sifa ndoo kwako zimefika lakini ujue siku ya kufa nyani miti huteleza .
Ushauri wangu kwako usibishane na mwenezi kwani mwenezi ndiye anayekitaftia Kura chama kilichokuweka hapo kwenye nafasi uliyonayo ,,! Wananchi wanahitaji wanahitaji huduma Bora hawahitaji porojo kama unazosema.

Mama anawachora Tu lakini hamjui ataamua nini!
Acha kuongopa mwenezi akitafutii chama kura chama kinatafutiwa kura na polisi pamoja na tume ya chama kimoja hilo bashe analijua ndio maana asumbuki na Makonda anajua kama mfumo utamuitaji atakua tu serikalini hata kama Makonda atakua hamtaki usidanganye watu eti Makonda anakitafutia chama kura hakuna asiyejua kama polisi na tume mbovu ndio inayoipa kura ccm anachokifanya Makonda ni maigizo tu ebu tuambie tokea Makonda ameanza kusikiliza kero za wananchi ebu tuambie kero gani za wananchi zilizo tatuliwa kupitia hayo maigizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom