Kama Jeshi la Polisi limeshindwa kuwapata wahalifu wa Tundu Lissu, Mo Dewji, Ben Saanane na Azory, kwanini Serikali haiombi msadaa vyombo vya nje?

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wadau nawasalimu. Nchi yetu ilipitia matukio makubwa ya kihalifu miaka kadhaa hapo nyuma. Kupitia jeshi la polisi uchunguzi wa uhalifu huo mpaka sasa wahalifu hawajapatikana wala kukamatwa.Uhalifu uliofanyika ni

1. Kupigwa Risasi kwa Kiongozi wa CHADEMA Mh. TUNDU LISSU
2. Kutekwa kwa MFANYABIASHARA Mashuhuri MO Dewji
3. Kutekwa na Kutoonekana kwa Bw.Ben saanane Mwanachama wa Chadema.
4. Azory Gwanda
5.Wengineo

Matukio haya yamekuwa ya muda mrefu na jeshi la Polisi mpaka sasa halijawakamata wahusika na pia halijasema chochote juu ya upelelezi wake mpaka sasa.

Wakati umefika kwa Jeshi la Polisi na Serikali kutamka kama jeshi letu limeshindwa kuwapata wahalifu basi serikali iombe msaada kwenye vyombo vya uchunguzi vya nje ya nchi vije visaidie uchunguzi na upatikanaji wa hao wahalifu.

Binafsi sidhani kama ni sahihi kwa serikali kukaa kimya wakati ndugu na wahanga wa huo uhalifu wapo na mwingine ben saanane hajulikani alipo.

Tunaiomba Serikali ichukue hatua za kuvishirikisha vyombo vya nchi za nje ili wahalifu wakamatwe na kufikishwa mahakamani.

moodewji_1681400916170103.jpg
20220125_194452.jpg
1649840785448.jpg
 
Usijali ni agenda kwenye maridhiano mkuu,na tumekubaliana yaliyopita si ndwele tugange yajayo
 
Roma mkatoliki piaa usimsahuaa...

Lakin watekwaji kwnn wasingeenda kushtaki inamaana hawakuowanona wahuskika mpk wanapoachiwa huruu..
 
Kama anaweza kukopa benk tano mounga mrefu kisha atokomee, wataonekana walioziba sura zao?
 
Wadau nawasalimu .Nchi yetu ilipitia MATUKIO MAKUBWA ya KIHALIFU MIAKA Kadhaa hapo nyuma.Kupitia JESHI LA POLISI Uchunguzi wa UHALIFU huo mpaka sasa WAHALIFU Hawajapatikana wala KUKAMATWA.UHALIFU uliofanyika ni
1.Kupigwa Risasi kwa Kiongozi wa CHADEMA Mh.TUNDU LISSU
2 Kutekwa kwa MFANYABIASHARA Mashuhuri MO Dewji
3 .Kutekwa na Kutoonekana kwa Bw.Ben saanane Mwanachama wa Chadema.
4.Azory Gwanda
5.Wengineo
Matukio haya yamekuwa ya Muda mrefu na JESHI la POLISI mpaka sasa HALIJAWAKAMATA wahusika na Pia halijasema Chochote juu ya UPELELEZI wake mpaka sasa.
Wakati Umefika kwa JESHI la POLISI na SERIKALI kutamka kama JESHI letu limeshindwa kuwapata WAHALIFU basi SERIKALI iombe MSAADA kwenye VYOMBO VYA UCHUNGUZI vya NJE ya NCHI Vije visaidie UCHUNGUZI na Upatikanaji wa hao WAHALIFU.Binafsi sidhani kama ni SAHIHI kwa SERIKALI Kukaa KIMYA wakati NDUGU na WAHANGA wa huo UHALIFU wapo na Mwingine Ben Saanane HAJULIKANI ALIPO.
Tunaiomba SERIKALI ichukue HATUA za KUVISHIRIKISHA Vyombo vya Nchi za Nje ili WAHALIFU wakamatwe na kufikishwa MAHAKAMANI .View attachment 2586710View attachment 2586713View attachment 2586718
Kwani wale watekaji wa Dr Ulimboka walishapatikana?
 
Mleta uzi ni kweli hujui.....????🙄🙄🙄 au una tu enjoy???🙂🙂🙂
 
Wadau nawasalimu. Nchi yetu ilipitia matukio makubwa ya kihalifu miaka kadhaa hapo nyuma. Kupitia jeshi la polisi uchunguzi wa uhalifu huo mpaka sasa wahalifu hawajapatikana wala kukamatwa.Uhalifu uliofanyika ni

1. Kupigwa Risasi kwa Kiongozi wa CHADEMA Mh. TUNDU LISSU
2. Kutekwa kwa MFANYABIASHARA Mashuhuri MO Dewji
3. Kutekwa na Kutoonekana kwa Bw.Ben saanane Mwanachama wa Chadema.
4. Azory Gwanda
5.Wengineo

Matukio haya yamekuwa ya muda mrefu na jeshi la Polisi mpaka sasa halijawakamata wahusika na pia halijasema chochote juu ya upelelezi wake mpaka sasa.

Wakati umefika kwa Jeshi la Polisi na Serikali kutamka kama jeshi letu limeshindwa kuwapata wahalifu basi serikali iombe msaada kwenye vyombo vya uchunguzi vya nje ya nchi vije visaidie uchunguzi na upatikanaji wa hao wahalifu.

Binafsi sidhani kama ni sahihi kwa serikali kukaa kimya wakati ndugu na wahanga wa huo uhalifu wapo na mwingine ben saanane hajulikani alipo.

Tunaiomba Serikali ichukue hatua za kuvishirikisha vyombo vya nchi za nje ili wahalifu wakamatwe na kufikishwa mahakamani.

View attachment 2586710View attachment 2586713View attachment 2586718
Unataka polisi wajikamate wenyewe?
 
Kwani limekuambia limeshindwa au awajaamua tu, swala lakumpata mtu aliye potea tena anasimu au computure kwa jeshi letu, kumtafuta aichukui hata dk. 5,Hakuna hata kitu kimoja kitajificha chini ya jua ni Muda tu.
 
Back
Top Bottom