Makonda atamhoji Bashe kama mbunge wa CCM ila hawezi kumhoji kama Waziri! Bashe anapiga kelele za bure tu!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,940
4,124
Ndugu Bashe ni waziri aliyetokana na ubunge, Katiba yetu inampa Mh. Rais kuchagua mawaziri wanaotokana na chama chake

Kwa sababu hiyo, Ndugu Bashe asisahau kwamba, yeye ni mbunge aliyetokana na chama cha CCM, akumbuke kwamba, kama asingekuwa mbunge aliyetokana na CCM, asingekuwa Waziri

Makonda anapokuwa kwenye vikao vya chama, atakaa viti vya viongozi tofauti na Bashe ambaye lazima atakaa viti vya wajumbe na sio viongozi,

Kwa maana nyingine, linapokuja suala la kichama, Bashe hawezi kulingana na Mwenezi

Makonda atakuwa amekosea ikiwa Ndugu Bashe atamhoji kama Waziri, ki protoko haikubaliki, Waziri bashe atakuwa ni mkuu kuliko Makonda kwa eneo la Kiserikali na si vinginevyo

Mwacheni Bashe apige kelele lakini, Mwenezi akihitaji jibu lake, atalisema na bila ya shaka yoyote!
 
Waziri/wizara imeweka utaratibu wa kudhibiti kupaa kwa bei ya sukari. Mwenezi wa Chama, anahoji linamhusu Nini? Au alitaka bidhaa hiyo iendelee kupandishwa bei kiholela?!
 
Kamati ya maadili CCM wilaya ilimuhoji juzi tu hapa Mpina.

Huyo Bashe anaruruka tu kama maharage yanayo taka kwiva hana huo uwezo wa kukataa sauti ya mwenezi wake wa chama labda kama hajipendi katika siasa zake
 
Ndugu Bashe ni waziri aliyetokana na ubunge, Katiba yetu inampa Mh. Rais kuchagua mawaziri wanaotokana na chama chake

Kwa sababu hiyo, Ndugu Bashe asisahau kwamba, yeye ni mbunge aliyetokana na chama cha CCM, akumbuke kwamba, kama asingekuwa mbunge aliyetokana na CCM, asingekuwa Waziri

Makonda anapokuwa kwenye vikao vya chama, atakaa viti vya viongozi tofauti na Bashe ambaye lazima atakaa viti vya wajumbe na sio viongozi,

Kwa maana nyingine, linapokuja suala la kichama, Bashe hawezi kulingana na Mwenezi

Makonda atakuwa amekosea ikiwa Ndugu Bashe atamhoji kama Waziri, ki protoko haikubaliki, Waziri bashe atakuwa ni mkuu kuliko Makonda kwa eneo la Kiserikali na si vinginevyo

Mwacheni Bashe apige kelele lakini, Mwenezi akihitaji jibu lake, atalisema na bila ya shaka yoyote!
Hawezi kumhoji kama Mbunge kwa maana ya masuala ya Kibunge,anaweza kumhoji kama Mwanachama wa chama cha mapinduzi tu.
 
Mkuu, si kweli

Hivi unajua kuwa Makonda ndo anahusika na mambo ya chama kitaifa? Ila Bashe atahusika kijimbo pekee?
 
Ndugu Bashe ni waziri aliyetokana na ubunge, Katiba yetu inampa Mh. Rais kuchagua mawaziri wanaotokana na chama chake

Kwa sababu hiyo, Ndugu Bashe asisahau kwamba, yeye ni mbunge aliyetokana na chama cha CCM, akumbuke kwamba, kama asingekuwa mbunge aliyetokana na CCM, asingekuwa Waziri

Makonda anapokuwa kwenye vikao vya chama, atakaa viti vya viongozi tofauti na Bashe ambaye lazima atakaa viti vya wajumbe na sio viongozi,

Kwa maana nyingine, linapokuja suala la kichama, Bashe hawezi kulingana na Mwenezi

Makonda atakuwa amekosea ikiwa Ndugu Bashe atamhoji kama Waziri, ki protoko haikubaliki, Waziri bashe atakuwa ni mkuu kuliko Makonda kwa eneo la Kiserikali na si vinginevyo

Mwacheni Bashe apige kelele lakini, Mwenezi akihitaji jibu lake, atalisema na bila ya shaka yoyote!
Chama ndicho kilichoshika hatamu! Wakati wowote Kiongozi wa chama ni mkuu!
 
Back
Top Bottom