Kambi ya Fisi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,472
- 21,953
Ilikuwa hivi miaka ya 80 + tukiwa primary school tunakimbizwa mchakamchaka huku wengi wetu tukiwa peku huku tukiimbishwa manyimbo ya kuisifia CCM na kuwaponda wote waliotofautiana na 'fikra sahihi za Nyerere' (mwenyekiti wa chama).
Kuna huu wimbo kila ninapokumbuka tulivyokuwa tunapaza sauti kuimba huwa najiona ni mwenye dhambi kwa kumsimanga Kambona pasipo kujua kosa lake hasa lilikuwa ni nini.
Nilitubu baada ya kujua ukweli nikiwa mtu mzima na Mungu anisamehe 7×70.
Nawaomba pia wazee wenzangu tulioimba nao huo wimbo kama mpo hapa tubuni na Mungu atawasamehe.
Tunaposema CCM ni muasisi wa nyimbo zisizofaa muwe mnatuelewa, walianza siku nyingi sana kutunga nyimbo za hovyo na kuwaimbisha watu (hasa watoto wa shule)
Simjui mtunzi wa huo wimbo ni nani ila naweka hapa mashairi ya huo wimbo ili wale kizazi cha zama za uwazi na ukweli + wasianze kuuliza ni wimbo gani huo..
Wimbo ni huu....
🎶... Kambona aaaah aaaah Kambona ameolewa, wapi aaaah aaaah wapi huko Ulaya, wivu aaaah aaaah wivu wamekereketaaa.. 🎶
Nimetubu na kila siku ninatubu kwa hiyo dhambi.