Bungeni: Serikali yapendekeza kufutwa kwa Ada ya kupewa Kadi mpya ya Mpigakura

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,501
9,280
Akiwasilisha maelezo kuhusu Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Waziri Jenista Muhagama (Waziri wa Nchi, Bunge na Uratibu) amesema Serikali inapendekeza ibara za 12, 20 na 21 zifanyiwe marekebisho kwa kuongeza hali ya Ulemavu kuwa miongoni mwa taarifa zitakazokuwa kwenye Daftari la Kudumu la Mpigakura na kuondoa Ada ya Marekebisho ya taarifa na Ada ya kupewa Kadi mpya ya Mpigakura

Kwa mujibu wa kifungu cha 20(2) cha Muswada wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi wa Mwaka 2023, kilipendekeza Mpigakura ambaye kadi yake itapotea, kufutika au kuharibika atapata Kadi mpya baada ya kulipia ada itakayokuwa imeainishwa na Tume

Pia soma:
 
Back
Top Bottom