Uharifu mkubwa kuwahi kufanyika Tanzania wahusika imeshindikana kuwakamata

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Nov 5, 2023
1,283
2,043
Katika Historia ya TANZANIA Kuna huu UHALIFU MKUBWA umetokea lakini mpaka Leo JESHI la POLISI limeshindwa KUWAKAMATA WAHUSIKA. Uhalifu huo ni:

1. Kutekwa kwa Mfanyabiashara MO DEWJI

2. Kupigwa RISASI Mchana kweupe TUNDU LISSU mjini DODOMA

3. Kutekwa na Kupotea kwa BEN SAANANE,azory Gwanda na wengine.

MATUKIO HAYA mpaka leo WAHUSIKA wake HAWAJAKAMATWA.
 
Wahusika walionywa wakashupaza shingo,

Usiwe na haki kuzidi dola utaumia,

Nasikia Lisu alionywa kabisa lakini badala ya kuonyeka akaanza kutafuta onyo linatoka wapi akaoga mvua ya shaba" de levis aliandika mahali humu jamvini!!

Ben aligusa nyeti kabisa,japo alikua na haki ya kuhoji ila mhojiwa hakuwa na subira ya kuhojiwa !!
Ben angepona kama angeamua kumwelewa hayati na hulka yake,naamini Kuna wengi Sana walikua na mengi kumhusu hayati lakini waliamua kukaa kimya coz ilikua ni busara!!

Modewji ni matured kabisa kuelewa kwanini ilimtokea,Ile no mbinu ya kimedani ya kumuondolea kiongozi uhalali was kuwa kiongozi ili achukiwe na watu na propaganda za media kibao ili akienda hata kama isivyo haki watu washangilie wasichokijua!!

NB

Sio kila jambo aliliratibu Hayati mengine ni proactive ya mfumo ili ku damage reputation yake fulani!!!

Mawazo huru ya mlipa kodi!!
 
Kwanza kabisa, sio kweli kwamba Tanzania hapajawahi kutokea Uhalifu Mkubwa.

Pili, kurudia taarifa potofu kila wakati hata kwa ID tofauti tofauti, haimanishi ndio ukweli, ni Uwendawazimu tu.

Rafiki yake Mkubwa MO ni JM, sasa kwanini msiende mka mhoji?
Nitaishia hapo, ila hizi propaganda hazikuwafikisheni popote.

Tuuzieni ajenda za sera, tuuzieni matamanio ya Wananchi na njia za kutatua matatizo yao na sio kutuuzia propaganda za kiuharakati uhasama na uasi

Kwa kusema hayo haina maana, Ben hajulikani alipo au la, T.L hakupigwa Risasi au la ila tuache kupotoshana na kudhalilisha majeshi yetu ya Usalama. Wengi humu mnaandika taarifa za kupotosha huku mkiinjoy Uhuru unaoletwa na Majeshi yetu.

Mjitafakari
 
Yataje basi ili tuyajue hayo matukio makubwa kuliko aliyoyataja jamaa
Unaposema Uhalifu mkubwa unakuwa una maana gani?.

Anyways Usafirishaji haramu wa Wanyamapori, Kulazimishwa kuhamishwa kwa Wamasai, Rushwa, Usafirishaji wa madawa ya kulevya na mengine mengi tu

Yote hayo yanahatarisha Usalama wa Taifa, itoshe, hata hizi taarifa za kupotosha nazo ni baadhi ya uhalifu huo.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Katika Historia ya TANZANIA Kuna huu UHALIFU MKUBWA umetokea lakini mpaka Leo JESHI la POLISI limeshindwa KUWAKAMATA WAHUSIKA. Uhalifu huo ni:

1. Kutekwa kwa Mfanyabiashara MO DEWJI

2. Kupigwa RISASI Mchana kweupe TUNDU LISSU mjini DODOMA

3. Kutekwa na Kupotea kwa BEN SAANANE,azory Gwanda na wengine.

MATUKIO HAYA mpaka leo WAHUSIKA wake HAWAJAKAMATWA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Hivi nyie CHADEMA Kila siku ni huu huu tu utumbo? Mliachwa mtaandamana kwanini hamkuitumia hiyo fursa?

Kila kitu kimepanda bei lakini hamsemi kitu, mmekalia Umbea na majungu tu!! Ndo maana Watanzania wamewapuuzilia mbali.

Mwenzenu Mwenezi Makonda anachanja tu mbuga nyie mmekalisha Makalio tu mnasubiri Ruzuku!! Badilikeni nyie Wahuni; awali mlikuwa ndo taa ya mambo mengi muhimu. Mmelamba asali Sasa hivi Kuna mambo mnayaonean aibu kuyasema.

Shwain
 
Katika Historia ya TANZANIA Kuna huu UHALIFU MKUBWA umetokea lakini mpaka Leo JESHI la POLISI limeshindwa KUWAKAMATA WAHUSIKA. Uhalifu huo ni:

1. Kutekwa kwa Mfanyabiashara MO DEWJI

2. Kupigwa RISASI Mchana kweupe TUNDU LISSU mjini DODOMA

3. Kutekwa na Kupotea kwa BEN SAANANE,azory Gwanda na wengine.

MATUKIO HAYA mpaka leo WAHUSIKA wake HAWAJAKAMATWA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app

Mauaji Kibiti? Au Wale kuku?
 
Wahusika walionywa wakashupaza shingo,

Usiwe na haki kuzidi dola utaumia,

Nasikia Lisu alionywa kabisa lakini badala ya kuonyeka akaanza kutafuta onyo linatoka wapi akaoga mvua ya shaba" de levis aliandika mahali humu jamvini!!

Ben aligusa nyeti kabisa,japo alikua na haki ya kuhoji ila mhojiwa hakuwa na subira ya kuhojiwa !!
Ben angepona kama angeamua kumwelewa hayati na hulka yake,naamini Kuna wengi Sana walikua na mengi kumhusu hayati lakini waliamua kukaa kimya coz ilikua ni busara!!

Modewji ni matured kabisa kuelewa kwanini ilimtokea,Ile no mbinu ya kimedani ya kumuondolea kiongozi uhalali was kuwa kiongozi ili achukiwe na watu na propaganda za media kibao ili akienda hata kama isivyo haki watu washangilie wasichokijua!!

NB

Sio kila jambo aliliratibu Hayati mengine ni proactive ya mfumo ili ku damage reputation yake fulani!!!

Mawazo huru ya mlipa kodi!!
Sahihi kabisa
 
Kwanza kabisa, sio kweli kwamba Tanzania hapajawahi kutokea Uhalifu Mkubwa.

Pili, kurudia taarifa potofu kila wakati hata kwa ID tofauti tofauti, haimanishi ndio ukweli, ni Uwendawazimu tu.

Rafiki yake Mkubwa MO ni JM, sasa kwanini msiende mka mhoji?
Nitaishia hapo, ila hizi propaganda hazikuwafikisheni popote.

Tuuzieni ajenda za sera, tuuzieni matamanio ya Wananchi na njia za kutatua matatizo yao na sio kutuuzia propaganda za kiuharakati uhasama na uasi

Kwa kusema hayo haina maana, Ben hajulikani alipo au la, T.L hakupigwa Risasi au la ila tuache kupotoshana na kudhalilisha majeshi yetu ya Usalama. Wengi humu mnaandika taarifa za kupotosha huku mkiinjoy Uhuru unaoletwa na Majeshi yetu.

Mjitafakari
Waeleze hawa CHAWA wa JM
 
Waeleze hawa CHAWA wa JM
Wanajisahahu na kujiondoa ufahamu alimradi tu wao ndio walikuwa namba moja kuwatetea wale wezi wa EPA na mamilioni ya dollar yaliyokuwa yakichotwa Benki kuu.

Tatizo lao ni Uwasilishaji wao wa Taarifa hizi hapa. Wanaongezea chumvi na maneno mengi tu ya kuchochea, kudhalilisha, kudhihaki, kuzodoa na Uhasama.

Mimi nadhani yapo mengi tu ambayo yamechochewa na Vyama vingine vya Siasa nchini. Wametubu wenyewe kuwa nao walichangia katika kuweka mazingira mabaya katika wanja la Siasa huku wakisahau kuwa mbinu zao hizo, pia zimechangia kuweka sintofahamu kwa wananchi na Taifa, exacerbated by foreign companies? interference with their propaganda? Acha tu.
 
Katika Historia ya TANZANIA Kuna huu UHALIFU MKUBWA umetokea lakini mpaka Leo JESHI la POLISI limeshindwa KUWAKAMATA WAHUSIKA. Uhalifu huo ni:

1. Kutekwa kwa Mfanyabiashara MO DEWJI

2. Kupigwa RISASI Mchana kweupe TUNDU LISSU mjini DODOMA

3. Kutekwa na Kupotea kwa BEN SAANANE,azory Gwanda na wengine.

MATUKIO HAYA mpaka leo WAHUSIKA wake HAWAJAKAMATWA.

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
Mwenezi Makonda asikitishwa na Utekaji
 
Back
Top Bottom