Askofu Gwajima amuomba RC Chalamila Serikali ijenge Mifereji ya Maji Boko Basihaya na Tegeta Yote kuelekea Baharini!

Naibu Waziri wa Ujenzi anesema Serikali itajenga Mifereji ya Maji kutoka Boko Basihaya na Tegeta hadi mto Tegeta na Maji ya mvua kupelekwa Baharini

Ahadi ya Serikali imefuatia ombi la mbunge wa Kawe askofu Dr Gwajima kwa mkuu wa mkoa wa DSM mh Chalamila

Source: TBC
Asante sana kwa taarifa, baadhi ya sisi wakazi wa Kawe tunakumbuka ahadi zake
P
 
Bwashe badala ya kuvuna maji ya mvua ambayo ni masafi Kwa matumizi ya nyumbani yanaelekezwa baharini tena?! Dar si ndo wanalalamikaga kuwa mabomba ya Dawasa ni makavu mwaka mzima?!
Mpaka miundo mbinu ya uvunaji iagizwe kutoka Israel na itengwe bajeti ya Bil. 700 na sasa Irael ipo vitani
 
Bwashe badala ya kuvuna maji ya mvua ambayo ni masafi Kwa matumizi ya nyumbani yanaelekezwa baharini tena?! Dar si ndo wanalalamikaga kuwa mabomba ya Dawasa ni makavu mwaka mzima?!
Akili nyingiii, maarifa kidogooo ndio CCM hao.
 
Back
Top Bottom