Mzee Kikwete tunamuona mstaafu lakini hajastaafu

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
Vijana wengi wa mjini wanamuita mtoto wa mjini maana kwenye medani za siasa mnaweza kucheka naye akikulia timing unakwisha habari yako.

Huyu kiongozi kiujumla Hana makuu kabisa ila makuu yake machache nikutotaka kustaafu mbinu anazotumia zinalidumaza taifa katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo na hii ni kutokana kwamba vijana aliowatengeneza kuwa viongozi kushindwa kuwajibika na kuwa wazalendo wa taifa lao! vijana wamekuwa walafi wa madaraka majungu fitina kuliko kufanya kazi! Wengi wao wanatuhumiwa kwa kashifa mbalimbali za matumiz mabaya ya ofisi na WIZI WA fedha za umma.

Mzee upo msemo unasema huwezi kuwazuia walimwengu kusema ila kama ni kweli bado kuna mambo unayasuka ndani ya chama na serikali nilikuwa naomba uwape nafasi wenzako wafanye kazi nasikia kwa sasa Hadi kilanja mkuu anakuogopa ingawa ana Kila kitu.

Ushauri wangu naomba uwashauri vijana wako wachape Kazi kwa ajiri ya nchi yao waache hayo wanayotuhumiwa nayo maana siku moja mambo yatabadilika.
 
Leo mara asemwe hivi kesho vile....

dah, wanadamu bana :cool:
 
Huyu kiongozi kiujumla Hana makuu kabisa ila makuu yake machache nikutotaka kustaafu mbinu anazotumia zinalidumaza taifa katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo
1705416163245.png
 
Vijana wengi wa mjini wanamuita mtoto wa mjini maana kwenye medani za siasa mnaweza kucheka naye akikulia timing unakwisha habari yako.

Huyu kiongozi kiujumla Hana makuu kabisa ila makuu yake machache nikutotaka kustaafu mbinu anazotumia zinalidumaza taifa katika mambo mbalimbali ya kimaendeleo na hii ni kutokana kwamba vijana aliowatengeneza kuwa viongozi kushindwa kuwajibika na kuwa wazalendo wa taifa lao! vijana wamekuwa walafi wa madaraka majungu fitina kuliko kufanya kazi! Wengi wao wanatuhumiwa kwa kashifa mbalimbali za matumiz mabaya ya ofisi na WIZI WA fedha za umma.

Mzee upo msemo unasema huwezi kuwazuia walimwengu kusema ila kama ni kweli bado kuna mambo unayasuka ndani ya chama na serikali nilikuwa naomba uwape nafasi wenzako wafanye kazi nasikia kwa sasa Hadi kilanja mkuu anakuogopa ingawa ana Kila kitu.

Ushauri wangu naomba uwashauri vijana wako wachape Kazi kwa ajiri ya nchi yao waache hayo wanayotuhumiwa nayo maana siku moja mambo yatabadilika.
Kuna Uzi wa" hutaki unaacha"wa mwaka 2013 aliandika Mzee alijipanga kuongoza akiwa nje ya mfumo!

Heri yake maana alizichanga karata vizuri!!

Atukumbuke na sisi jamani!nchi ni wote tule wote,japo ni kweli alitusaidia Sana tukapata mikopo ya kusomea chuo kikuu,Kwa Hilo nitamzika Kwa heshima siku akitangulia!Hilo tu,tungepenyaje!?!!

Na ajira alitoa!!jpm alijitahidi lakini hakutupenda maskini Kwa vitendo!huwezi nyima Ajira mtoto was maskini tukakuelewa hata kama utajenga mnara was Babeli!!

Huo ndio.ukweli!!
 
Back
Top Bottom