Je,
1. Wazanaki wanakotoka viongozi mbalimbali ikiwemo baba wa taifa Mwalimu Nyerere ni 100% Watanzania?
2. Wamakuwa kutoka mkoani Mtwara ambako pia anatoka aliyekuwa Rais wa Tanzania hayati...
Wakuu,
Tar 13 januari 2024 Mkuu wa Mkoa Dr, Albert Chalamila alitangaza zoezi la usafi kufanyika tar 24 na 24 likitajwa kuhusisha Wanajeshi zaidi ya 5000, Polisi zaidi ya 3000, FFU na Vyombo...
Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote.
Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya...
Mnajua kabisa kuwa hakuna mfanyabiashara atakayeshusha bei ya sasa 3800-5000 Tsh per kilo.
sasa muuzaji asiyefuata bei hiyo namshitaki wapi/natoa taarifa wapi?
Au nyie mamlaka ya sukari nachukua...
Wakuu
Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea
Watanzania waliochaguliwa kuandamana...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , leo Jumatano , 18/1/2023 amekutana na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania , David Concor .
Wawili hao wamezungumza mambo...
WanaJf,
Salaàm!
Kero nyingi za watanzania zimetatuliwa kupitia UTEKELEZAJI wa Ilani ya uchaguzi.
Umeme upo
Maji yapo
Barabara zipo
Mikopo kwa wanafunzi ipo
Uwezeshaji wanawake, walemavu, na...
Watu wengi tumekuwa Tunaitupia LAWAMA nyingi sana TANESCO kutokana na Upatikanaji mdogo wa Umeme na Katikakatika ya mara kwa mara ya Umeme.
Swali langu kwa mnaoilaumu TANESCO.
Je, mmewahi...
UCHAMBUZI WA KIJANA MZALENDO, DEVID LEVI NKINDIKWA KUHUSU MGOGORO WA MKATABA WA BANDARI LEO TAREHE 22/7/2023
1. UTANGULIZI
MKATABA WA IGA BAINA YA TANZANIA NA EMIRATE YA DUBAI
Pamoja na Maoni...
Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio...
Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana.
CCM...
Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya?
Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme.
Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda...
Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao...
GENTAMYCINE nafurahi sana acheni awanyoosheni kwani wengi wenu alipokuwa bench mlikuwa mkimcheka na kumdharau mno.
Halafu nawaibieni Siri kuwa Mwenezi CCM Makonda ana Baraka zote za Aliyewateueni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang na...
Kheri za mwaka mpya wanajukwaa!
Nimeona na mimi kama mtanzania niungane na CDF kutafakari kwa kina hali ya ulinzi na usalama nchini.
Naomba niingie moja kwa moja kwenye mada yangu kama...
Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa...
SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya...
2019 Ulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Rough za wazi kabisa zilijitokeza. Maamuzi ya chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) yalikuwa ni kususia uchaguzi ule. Yes , ikawa hivyo.
So far...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.