Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,930
- 31,172
Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana.
CCM kwakujua Makonda si lolote si chochote walikimbia uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kufanya mkutano Soko la Kilombero.
Makonda hakuwa na jambo la maana kuongea zaidi kutafuta kiki za kupanda Bodaboda.
Namshauri Makonda apeleke upuuzi wake Koromoje huku Arusha watu wanajua wanafanya nini, wanataka nini...