Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,283
- 2,043
Watu wengi tumekuwa Tunaitupia LAWAMA nyingi sana TANESCO kutokana na Upatikanaji mdogo wa Umeme na Katikakatika ya mara kwa mara ya Umeme.
Swali langu kwa mnaoilaumu TANESCO.
Je, mmewahi kufanya uchunguzi wa kujua TANESCO ina Matatizo gani yanayosababisha Upatikanaji wa Umeme uwe wa shida?
Kama ndio je Upatikanaji wa Umeme na katikakati ya Umeme?
TATIZO ni;
1. Uongozi toka Wizara mpaka Shirika?
2. Watendaji wa Tanesco?
3. Ubovu na Uchakavu wa Mitambo?
4. Uhaba wa MAJI kwenye Mabwawa na Gesi?
Tafadhali tushirikiane kubaini Tatizo ili litatuliwe na TANESCO iweze kutoa HUDUMA sahihi kwa Wananchi.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app