Upendo Peneza: Viongozi CHADEMA wanakitumia chama kama duka lao

Papaa Mobimba

JF-Expert Member
Jan 27, 2018
754
3,097
Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao wamekifanya Chama kama Duka lao, na Wananchi na Watu wanaowaamini wamewafanya kama bidhaa leo hii wamegundua kwamba Watu wameanza kuwashtukia, wamegundua kwamba Watu wameona michezo yao, wamegundua kwamba Watu wameona consistency na hawana hoja ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Nchi yetu, Watu wamegundua, Watu wameanza kurudi nyuma.

peneza.png
 
Never trust a woman
 
Kahaba mjaa laana huyu hapa!
 
Is your statement including your mother?
Hizi sweeping statements zingine ni za kijinga tu.Jibu hoja wacha ku attack jinsia yake.
I was about to write "except your mother"! But when I rember that there are some women who conceive- carrying a baby in a womb for nine solid months and at last throwing a new born in a toilet pit or sometimes commiting abortion I hesitated to do so! If I were to write again I would write : I Don't trust a woman except my mother. Bado kuna shida?
 
Kwa muda mrefu Viongozi wa Upinzani ambao ninawafahamu wa Chama changu (CHADEMA) wamekifanya Chama kama sehemu ya kufanikisha biashara zao, wanakuwa wanafanya Siasa za kilaghai, ni Viongozi ambao wamekifanya Chama kama Duka lao, na Wananchi na Watu wanaowaamini wamewafanya kama bidhaa leo hii wamegundua kwamba Watu wameanza kuwashtukia, wamegundua kwamba Watu wameona michezo yao, wamegundua kwamba Watu wameona consistency na hawana hoja ya kuleta mabadiliko ya kweli kwenye Nchi yetu, Watu wamegundua, Watu wameanza kurudi nyuma.

Yuko WA Wapi Shonza? Yuko Wapi? Mbunge Waitara? Yuko Wapi.....? Kuna Kesho
 
Back
Top Bottom