CCM ya Rais Samia, Dkt. Nchimbi na Mwenezi Makonda tuishauri lipi? Mengi yametekelezwa

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Oct 7, 2020
1,391
1,258
WanaJf,
Salaàm!

Kero nyingi za watanzania zimetatuliwa kupitia UTEKELEZAJI wa Ilani ya uchaguzi.
  • Umeme upo
  • Maji yapo
  • Barabara zipo
  • Mikopo kwa wanafunzi ipo
  • Uwezeshaji wanawake, walemavu, na wazee umefanyika
  • Ajira kwa vijana zimeongezeka
  • Ruzuku ya kilimo ipo
  • Michezo imefadhiliwa nk nk

Sasa hawa viongozi wa CCM tuwashauri wajikite ktk kupambania mambo gani ambayo yana maslahi kwa watanzania wote?
 
Ulivyoanza kuorodhesha eti umeme upo nimekusoma mpuuzi kama wapuuzi wenzako.

Pia kumuorodhesha jamanazi Bashite kwenye orodha ya viongozi ni kuwadharau Watanzania.

Hizi takataka peleka kwenye majukwaa ya CCM.
 
Ukiachilia mbali changamoto za mvua kuharibu miundombinu na ukame kukosesha wingi wa maji umeme si upo?
 
Back
Top Bottom