Kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika vibaya, watu wa Dar es salaam kususia maandamo, hakutakuwa na nyomi

Kifurukutu

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
4,560
6,533
Wakuu

Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea

Watanzania waliochaguliwa kuandamana ndiyo hao wanaume wa Dar, yoga umewajaa na hakuna mtu ndani ya wiki hili atajitoa Kwa maslahi ya viongozi wa chama

Pia issue ya umbali kuwa mrefu, ni mwanamke yupo WA Dar atapiga unyayo tokea mbezi mpaka UN? Hawahawa wala chipsi na miguu ya kuku au kunawengine mmewakodi kutoka mikoani?

Lakini pia naliona jeshi likifanya yake siku hiyo itakuwa ni kipigo mpaka uchakae hakuna cha usafi wala kubeba taka

Ewe mwananchi kama Mimi, nakusihi kesho amka mapema, wahi kazini kwako tulia
Kama wewe ni jobless usitoke ndani maana ulitoka utakuwa takataka
 
Mbona waliandamana ile siku Akwilina anapigwa risasi? Hata siku lissu anakuja waliandamana mbona licha ya vitisho vya polisi.

WaTanzania wakiwa mobilized mbona wanaandaamana tu maana ni ya amani so ni kama jogging tu kufikisha ujumbe.

View: https://youtu.be/KHqkNZepDzw?si=tHJE30XuSb-A6y8s
 
Wakuu

Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea

Watanzania waliochaguliwa kuandamana ndiyo hao wanaume wa Dar, yoga umewajaa na hakuna mtu ndani ya wiki hili atajitoa Kwa maslahi ya viongozi wa chama

Pia issue ya umbali kuwa mrefu, ni mwanamke yupo WA Dar atapiga unyayo tokea mbezi mpaka UN? Hawahawa wala chipsi na miguu ya kuku au kunawengine mmewakodi kutoka mikoani?

Lakini pia naliona jeshi likifanya yake siku hiyo itakuwa ni kipigo mpaka uchakae hakuna cha usafi wala kubeba taka

Ewe mwananchi kama Mimi, nakusihi kesho amka mapema, wahi kazini kwako tulia
Kama wewe ni jobless usitoke ndani maana ulitoka utakuwa takataka
Mbona kama kiharage kimekusimama vile
 
Hapa issue sio umbali bali kiongozi wa chama kuwa na ndimi mbili!!, Raia wanahitaji kiongozi anayesimamia dhamira ya walio wengi na sio wachache.....
 
Mara nyingi vurugu huanzishwa na Polisi kwa kujaribu kuyazuia maandamano.

Mbowe tuliona akiandamana kwenye Ufunguzi wa mikutano ya Vyama vya siasa Mza, akiwa na umati mkubwa zaidi ya km 10, hapakuwa na vurugu yoyote.
 
Wakuu

Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea

Watanzania waliochaguliwa kuandamana ndiyo hao wanaume wa Dar, yoga umewajaa na hakuna mtu ndani ya wiki hili atajitoa Kwa maslahi ya viongozi wa chama

Pia issue ya umbali kuwa mrefu, ni mwanamke yupo WA Dar atapiga unyayo tokea mbezi mpaka UN? Hawahawa wala chipsi na miguu ya kuku au kunawengine mmewakodi kutoka mikoani?

Lakini pia naliona jeshi likifanya yake siku hiyo itakuwa ni kipigo mpaka uchakae hakuna cha usafi wala kubeba taka

Ewe mwananchi kama Mimi, nakusihi kesho amka mapema, wahi kazini kwako tulia
Kama wewe ni jobless usitoke ndani maana ulitoka utakuwa takataka
Maandamano yameruhusiwa hamna mabomu, risasi wala Aquelina
 
Wewe ni nanihiii
 
Unazungumzia Watanzania gani .... Hawa aslimia 90 wasio na kazi ......!!?
 
Wakuu

Mitaa inaongea, Kwa tathimini yangu ndogo nimejirizisha pasipokuwa na Shaka kwamba kesho ni siku ya CHADEMA kuaibika Kwa kili kinachoenda kutokea

Watanzania waliochaguliwa kuandamana ndiyo hao wanaume wa Dar, yoga umewajaa na hakuna mtu ndani ya wiki hili atajitoa Kwa maslahi ya viongozi wa chama

Pia issue ya umbali kuwa mrefu, ni mwanamke yupo WA Dar atapiga unyayo tokea mbezi mpaka UN? Hawahawa wala chipsi na miguu ya kuku au kunawengine mmewakodi kutoka mikoani?

Lakini pia naliona jeshi likifanya yake siku hiyo itakuwa ni kipigo mpaka uchakae hakuna cha usafi wala kubeba taka

Ewe mwananchi kama Mimi, nakusihi kesho amka mapema, wahi kazini kwako tulia
Kama wewe ni jobless usitoke ndani maana ulitoka utakuwa takataka
Utaaibika wewe unayefuatilia mambo yasiyokuhusu.
 
Back
Top Bottom