Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Wilaya mnalalamika nini 'Kichinichini' kwa Nguvu Kubwa aliyonayo Mwenezi CCM Makonda juu yenu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,036
GENTAMYCINE nafurahi sana acheni awanyoosheni kwani wengi wenu alipokuwa bench mlikuwa mkimcheka na kumdharau mno.

Halafu nawaibieni Siri kuwa Mwenezi CCM Makonda ana Baraka zote za Aliyewateueni (Mwenyekiti Rais Samia) na Makonda akisema tu Waziri fulani, Mkuu wa Mkoa na Wilaya fulani hafai Kesho tu haupo Madarakani.

Na msithubutu sijui kutaka kumfanyia Umafia aliofanyiwa aliyekuwa Rais wa Marekani Hayati Kennedy, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Israel Yitzhak Rabin na Hayati Karume wa Zanzibar kwani ana Ulinzi mkubwa, kabambe na mkali unaokaribia wa Mama ukiwa na Njemba Mbili za Kikosi Muhimu cha Morogoro.

Na katika sijui kutaka labda Kumroga huko ndiko kabisa nawashauri msipoteze muda Wenu Kwenda / Kumfanyia kwani yuko vizuri huku akilindwa vyema na Mtaalamu HATARI wa Klabu Moja Kubwa nchini ambayo tarehe 5 Mwezi fulani mwaka jana walipeleka Kilio Kikubwa na Kitakatifu kwa Klabu ambayo GENTAMYCINE naipenda na naishabikia Kindakindaki.

Halafu nyie Magwiji Watatu wa Singida, Lindi na Tanga acheni kila mara kukaa Vikao na Kumpigia Majungu Mwenezi CCM Makonda kwani hamna cha Kumfanya japo mna Jeuri za Fedha nyingi mlizoiba na kuzihifadhi katika Benki za South Africa, Dubai na Cyprus na hakuna ambacho mnakijadili juu yake hakijulikani.

Safi sana Makonda wanyooshe hao!!
 
Mkuu Wewe cdf si amekutaja kwamba umeshika nafasi nyeti hapa jf ilhali wewe si damu yetu
Nawaonea huruma kwani mmechelewa sana ni vile tu bado hamjaingia vyema katika 18 zao ili mnyooshwe na hamtoamini pamoja na kila mwaka Kikundi fulani cha Morogoro huwa kinapenda mno Kuonyesha walichonacho na walichojifunza wakati kumbe wako very outdated japo wao wanajiona na wanajidanganya kuwa ni East African Giant Kimedani.
 
Naunga mkono hoja,kwanza Wameshindwa kufanya kazi anayofanya Makonda ya kutatua kero kwenye maeneo Yao na kumsaidia Mh. Rais.

Ngoja awasaidie wakizingua atawatemesha vibarua.

Mwisho wewe mkimbizi Rudi kwenu Rwanda.
 
Back
Top Bottom