Rais Samia awasili Nchini Indonesia kwa ziara ya siku tatu, Januari 24 na 26, 2024

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987

36538056-05da-4424-b743-6df7fe4fdc82.jpeg

604d8115-d254-4706-965d-384d0b748196.jpeg

7a7d6e89-9970-4c8c-ab17-845413b8b2de.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang na kupokelewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Pahala Nugraha Mansury kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.

97ad5108-2b60-4500-bf78-81e515830e52.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia tarehe 24 Januari, 2024.

Pia soma - Ziara ya Kitaifa ya Rais Samia katika Jamhuri ya Indonesia tarehe 24-26 Januari 2024
 
Wacha akapate changamoto zingine angalau mama wa watu
Kuna nchi mtu ukifanya ziara ni nchi nchi tuu, hivyo hiyo ziara inakuwa ni kama kutalii tuu, na kuna nchi ni nchi darasa, ukifanya ziara ni ziara darasa kama shamba darasa!.
Tiger countries ni nchi darasa!, hivyo Mama yuko darasani!.

Tena nashauri Mode, hii ziara waifanye sticky with a minute to minutes updates!.
P
 
Ndege aliyonunua Magufuli wanatanulia huku wakimtukana na hata jina wameibadilisha, anyway sarakasi zimekaribia mwisho. Hata indonesia iko kwenye sphere of influence of western world, hivyo kazi bure.
 
Kuna nchi mtu ukifanya ziara ni nchi nchi tuu, hivyo hiyo ziara inakuwa ni kama kutalii tuu, na kuna nchi ni nchi darasa, ukifanya ziara ni ziara darasa kama shamba darasa!.
Tiger countries ni nchi darasa!, hivyo Mama yuko darasani!.

Tena nashauri Mode, hii ziara waifanye sticky with a minute to minutes updates!.
P

Mzee Vipi? Indonesia nayo ipo katika Zile Tiger countries kweli? Au ni nchi inayoongoza kwa idadi kubwa ya Waumini wa Iman ya Kiislam basi. Tiger countries ni Taiwan, South Korea, Hong Kong and Singapore hizo zingine bado bhana, acha kujichetua
 
Back
Top Bottom