johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,599
Nauliza tu maana Naona wengine wanazungumzia bei za bidhaa ilhali tuliambiwa ajenda ya Maandamano ni miswada ya sheria za uchaguzi
Ufafanuzi tafadhali
Ufafanuzi tafadhali
Ajenda zozote zinazomgusa mwananchi zinafaaNauliza tu maana Naona wengine wanazungumzia bei za bidhaa ilhali tuliambiwa ajenda ya Maandamano ni miswada ya sheria za uchaguzi
Ufafanuzi tafadhali
Kama wewe hujanywa Chai au umelelala na njaa unakaribishwa kwenye Maandamano.Nauliza tu maana Naona wengine wanazungumzia bei za bidhaa ilhali tuliambiwa ajenda ya Maandamano ni miswada ya sheria za uchaguzi
Ufafanuzi tafadhali
1. Umeme hata niliko hakuna umemeNauliza tu maana Naona wengine wanazungumzia bei za bidhaa ilhali tuliambiwa ajenda ya Maandamano ni miswada ya sheria za uchaguzi
Ufafanuzi tafadhali
😂😂Wewe andamana kwa kile unachoona hakiko sawa kwa upande wako!
Mmmm!Kama wewe hujanywa Chai au umelelala na njaa unakaribishwa kwenye Maandamano.
Karibu Mkuu Ugali, mimi nitakununulia.Mmmm!
Hiyo ina maana nikaandamane kama sijakula kwa siku mbili mfululizo.
Hivi makasiriko ya mtu ambaye amelala na njaa na hajakula mnayajua? 😂😅😌
....lakini kama CHADEMA watatoa Maji, Juisi, Mihogo, Chipsi Mayai....watakuwa wameokoa Jahazi.
Wazingatie hili la watu kuwa na Njaa. Kadi ya CDM=Juisi ya Machungwa.
Tionane barabarani.
6. US$ 200 bilioni za dhahabu/makinikia zimeishia wapi?1. Umeme hata niliko hakuna umeme
2. Sukari
3. Ajira Kwa vijana
4. Misuada yasheria za uchaguzi
5. Tume ya uchaguzi
Mbingu itafunguka!Karibu Mkuu Ugali, mimi nitakununulia.