Mikutano ya Makonda inaonyesha jinsi nchi yetu ilivyo ya maajabu mengi

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,641
46,292
Kwenye mkutano wa Makonda huko Moshi kumejetokeza kwamba Manisipaa imechukua eneo la mtu (Mhindi) na kulipima kimakosa kisha kuwauzia wananchi. Mhindi kaenda mahakamani, kashinda kesi dhidi ya manisipaa lakini wanaotakiwa kulipia eneo ni raia badala ya manisipaa!, raia waliouziwa ardhi na manisipaa wanamlalamikia Muhindi na kumshitaki kwa Makonda badala ya manisipaa iliyowauzia ardhi ya mtu na manisipaa yenyewe imeuchuna tu!

Kwenye mkutano mwingine Meneja wa TANESCO hajui vigezo wanavyotumia kugawa umeme kwa mida tofauti kwa maeneo tofauti! Hata kama hakuna vigezo si angesema tu hakuna vigezo kwa sababu umeme ni hitaji la muhimu kwa watu wote

Mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo anawashitaki mgambo wa Arusha walio chini ya Halmashauri inayoongozwa na chama chake na watendaji walioteuliwa na chama chake kwa mwenezi wa chama chake na anashangiliwa na watu wa chama chake!

Kuna burudani nyingi sana katika mikutano ya katibu mwenezi wa CCM hata kwa kufuatilia kwa uchache tu, bahati mbaya sana hatuna wachekeshaji wa kisiasa katika tasnia ya comedy nchi ambao wengejipatia content za comedy za kutosha kila siku kutoka katika siasa zetu.
 
bahati mbaya sana hatuna wachekeshaji wa kisiasa katika tasnia ya comedy nchi ambao wengejipatia content za comedy za kutosha kila siku kutoka katika siasa zetu.
Naunga mkono hoja, ni kweli mwenezi ni a political comedian, ila nampongeza sana kwa kuwa mbunifu sana, mara aingie kwa miguu, kwa baiskeli, kwa boda boda, kwa punda, kwa mtumbwi, kwa mkokoteni etc, Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Ila pia nimegundua, Watanzania wanapenda nini, na yeye anawapa kile wanachopenda, the comedy!, siasa za maigizo!, hadi igizo la uchaguzi!.
P
 
Kwenye mkutano wa Makonda huko Moshi kumijetokeza kwamba Manisipaa imechukua eneo la mtu(Muhindi) na kulipima kimakosa kisha kuwauzia wananchi. Muhindi kaenda mahakamani, kashinda kesi dhidi ya manisipaa lakini wanaotakiwa kulipia eneo ni raia badala ya manisipaa!, raia waliouziwa ardhi na manisipaa wanamlalamikia Muhindi na kumshitaki kwa Makonda badala ya manisipaa iliyowauzia ardhi ya mtu na manisipaa yenyewe imeuchuna tu!

Kwenye mkutano mwingine Meneja wa TANESCO hajui vigezo wanavyotumia kugawa umeme kwa mida tofauti kwa maeneo tofauti! Hata kama hakuna vigezo si angesema tu hakuna vigezo kwa sababu umeme ni hitaji la muhimu kwa watu wote

Mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo anawashitaki mgambo wa Arusha walio chini ya Halmashauri inayoongozwa na chama chake na watendaji walioteuliwa na chama chake kwa mwenezi wa chama chake na anashangiliwa na watu wa chama chake!

Kuna burudani nyingi sana katika mikutano ya katibu mwenezi wa CCM hata kwa kufuatilia kwa uchache tu, bahati mbaya sana hatuna wachekeshaji wa kisiasa katika tasnia ya comedy nchi ambao wengejipatia content za comedy za kutosha kila siku kutoka katika siasa zetu.
Mkuu pole kwa kupata muda wa kufuatilia FUTUHI ya CCM. Ni aibu na fedheha kwa chama na serikali. Wameona watuletee huyu mtu na hakuna chochote anachoeneza zaidi ya kuwabwaja. Very hopeless
 
Kwenye mkutano wa Makonda huko Moshi kumejetokeza kwamba Manisipaa imechukua eneo la mtu (Mhindi) na kulipima kimakosa kisha kuwauzia wananchi. Mhindi kaenda mahakamani, kashinda kesi dhidi ya manisipaa lakini wanaotakiwa kulipia eneo ni raia badala ya manisipaa!, raia waliouziwa ardhi na manisipaa wanamlalamikia Muhindi na kumshitaki kwa Makonda badala ya manisipaa iliyowauzia ardhi ya mtu na manisipaa yenyewe imeuchuna tu!

Kwenye mkutano mwingine Meneja wa TANESCO hajui vigezo wanavyotumia kugawa umeme kwa mida tofauti kwa maeneo tofauti! Hata kama hakuna vigezo si angesema tu hakuna vigezo kwa sababu umeme ni hitaji la muhimu kwa watu wote

Mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo anawashitaki mgambo wa Arusha walio chini ya Halmashauri inayoongozwa na chama chake na watendaji walioteuliwa na chama chake kwa mwenezi wa chama chake na anashangiliwa na watu wa chama chake!

Kuna burudani nyingi sana katika mikutano ya katibu mwenezi wa CCM hata kwa kufuatilia kwa uchache tu, bahati mbaya sana hatuna wachekeshaji wa kisiasa katika tasnia ya comedy nchi ambao wengejipatia content za comedy za kutosha kila siku kutoka katika siasa zetu.
Yani chama full comedy kuliko futuhi
 
Kwanza nikusifu kabisa una roho ya chuma au roho ya ubao.

Binafsi siwezi kabisa kumsikiliza huyo mtu maana naona hakuna point ya msingi anayoongea.
 
Naunga mkono hoja, ni kweli mwenezi ni a political comedian, ila nampongeza sana kwa kuwa mbunifu sana, mara aingie kwa miguu, kwa baiskeli, kwa boda boda, kwa panda, kwa mtumba, kwa mkokoteni etc, Pongezi Paul Makonda kuifufua CCM kwa amsha amsha. Twende mdogomdogo ngoma ikivuma sana inakaribia kupasuka!

Ila pia nimegundua, Watanzania wanapenda nini, na yeye anawapa kile wanachopenda, the comedy!, siasa za maigizo!, hadi igizo la uchaguzi!.
P
Hapa naona una ng'ata na kupuliza kama panya!!!
 
Kwenye mkutano wa Makonda huko Moshi kumejetokeza kwamba Manisipaa imechukua eneo la mtu (Mhindi) na kulipima kimakosa kisha kuwauzia wananchi. Mhindi kaenda mahakamani, kashinda kesi dhidi ya manisipaa lakini wanaotakiwa kulipia eneo ni raia badala ya manisipaa!, raia waliouziwa ardhi na manisipaa wanamlalamikia Muhindi na kumshitaki kwa Makonda badala ya manisipaa iliyowauzia ardhi ya mtu na manisipaa yenyewe imeuchuna tu!

Kwenye mkutano mwingine Meneja wa TANESCO hajui vigezo wanavyotumia kugawa umeme kwa mida tofauti kwa maeneo tofauti! Hata kama hakuna vigezo si angesema tu hakuna vigezo kwa sababu umeme ni hitaji la muhimu kwa watu wote

Mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo anawashitaki mgambo wa Arusha walio chini ya Halmashauri inayoongozwa na chama chake na watendaji walioteuliwa na chama chake kwa mwenezi wa chama chake na anashangiliwa na watu wa chama chake!

Kuna burudani nyingi sana katika mikutano ya katibu mwenezi wa CCM hata kwa kufuatilia kwa uchache tu, bahati mbaya sana hatuna wachekeshaji wa kisiasa katika tasnia ya comedy nchi ambao wengejipatia content za comedy za kutosha kila siku kutoka katika siasa zetu.
Wapuuzi hao.Kwa lugha ngumu tunaita "kujitia dole na kunusa"!Sijui wanategemea matokeo gani?They are all stupids.
 
Naunga mkono hoja, ni kweli mwenezi ni a political comedian, ila nampongeza sana kwa kuwa mbunifu sana, mara aingie kwa miguu, kwa baiskeli, kwa boda boda, kwa panda, kwa mtumba, kwa mkokoteni etc,
Huo ni Ujuha wala sio ubunifu, umeanza vyema Ila umechanganya! Huwezi kuweka sifa mbili tofauti kwa kitu kile kile, he is a political comedian, iishie hapa!
 
Makonda amewasiki Kilimanjaro.
Hajajua tatizo lililoko Kilimanjaro ni makatibu wa CCM kata, wilaya na mkoa ni mizigo,
Analia na viongozi wa serikali na Mbowe.
 
Kwenye mkutano wa Makonda huko Moshi kumejetokeza kwamba Manisipaa imechukua eneo la mtu (Mhindi) na kulipima kimakosa kisha kuwauzia wananchi. Mhindi kaenda mahakamani, kashinda kesi dhidi ya manisipaa lakini wanaotakiwa kulipia eneo ni raia badala ya manisipaa!, raia waliouziwa ardhi na manisipaa wanamlalamikia Muhindi na kumshitaki kwa Makonda badala ya manisipaa iliyowauzia ardhi ya mtu na manisipaa yenyewe imeuchuna tu!

Kwenye mkutano mwingine Meneja wa TANESCO hajui vigezo wanavyotumia kugawa umeme kwa mida tofauti kwa maeneo tofauti! Hata kama hakuna vigezo si angesema tu hakuna vigezo kwa sababu umeme ni hitaji la muhimu kwa watu wote

Mbunge wa Arusha mjini, Mrisho Gambo anawashitaki mgambo wa Arusha walio chini ya Halmashauri inayoongozwa na chama chake na watendaji walioteuliwa na chama chake kwa mwenezi wa chama chake na anashangiliwa na watu wa chama chake!

Kuna burudani nyingi sana katika mikutano ya katibu mwenezi wa CCM hata kwa kufuatilia kwa uchache tu, bahati mbaya sana hatuna wachekeshaji wa kisiasa katika tasnia ya comedy nchi ambao wengejipatia content za comedy za kutosha kila siku kutoka katika siasa zetu.
Makonda kaja Himo mgao wa umeme ndiyo umeongezeka kutoka masaa 12 mpaka 24.
Boro asingekuja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom