Kuna andiko linazunguka hapa jukwaani likisema Makonda anatumia ziara zake kumjenga MAKONDA AJAE NA SIO CCM
Swali makondoka anajengeka?
Nani hasiyemjua Bashi dhidi malove davi yake juu ya...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameiweka katika uangalizi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira mjini Lindi (Luwasa) kwa kipindi cha mwezi mmoja na kuahidi kuleta timu itakayowasaidia kuandaa...
Tundu Antipas Lissu amesema Maandamano ya jana ni mwanzo tu na hawatakubali tena kuburuzwa na kulaghaiwa na serikali
Lissu amesema hakuna alitewahurumia na kuwaruhusu kuandamana kwani haki ya...
Kwenye Ujumbe huo, Emeltha alimpa Rais Samia siku 4 kutimiza kusudi la Mungu la Kinabii la kurudisha mali za wavuvi zilizopokonywa na Serikali, kuwatoa jela wavuvi waliopewa kesi za uwongo...
Ifike mahali tutenganishe siasa na kazi, nimechukizwa sana na Hawa watu wanaojifanya ni viongozi wa Chama cha kijani kuingilia majukumu ya watumishi.
Tena nitoe Kongole la nguvu kwa huyu daktari...
Hii nchi haitawaliwi Kijeshi bali inatawaliwa kidemokrasia kwa maana hiyo Chama kilichoshinda Uchaguzi Ndio chenye dhamana ya kuunda serikali na kuisimamia
Katibu wa Itikadi na Uenezi ndiye...
Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM, Paul Makonda akiwa Himo Mkoani Kilimanjaro katika ziara yake kutembelea mikoa 20 nchini kufuatilia utekelezaji Ilani ya CCM amesema.
"Wenzetu wa...
Hamad Masoud Hamad katibu mkuu wa CUF asema hakuna haja ya kuweka mbinyo miswada ya sheria ya uchaguzi na sheria ya Tume ya Uchaguzi zibadilishwe kupitia maandamano ya amani yaliyoitishwa na...
Walimu hawajui kipaumbele vyao, full kujipendekeza! Hii Kada sometimes wanajidhalilisha Sana aidha kwa kujua au kwa kutokujua. Inawezakana vipi mchangishane kumchukulia Form Mgombea ambaye hata...
Kwanza nawapongeza sana kwa kupitisha, kuratibu na kufanya maandamano yaliyotikisa nchi na kufikisha ujumbe masafa ya mbali. Hongereni sana.
Mtafanya makosa kama mtapoa. CCM wana akili sana...
Tanzania siyo kisiwa hivyo tunahitaji viongozi waliobeba maono ya Dunia ambao wakigonga hodi ubalozi wowote wanafunguliwa mlango
Freeman Mbowe amefikia Wakati wa kustaafu lakini Siasa za Tanzania...
Nimepita katika Ofisi kadhaa za umma ikiwemo Hospitalini. Nimekuta watumishi wa umma katika Ofisi hizo wakiogopa sana ujio wa Makonda kama ilivyokuwa wakati wa JPM. Nimekuta wengi wakijiweka sawa...
Hii jamii ni hatari sana. Iliweza kupenetrate Uganda na sasa wanaitawala, ikaweza kuchukua Rwanda na sasa wanaitawala.
Baadhi walikimbia Congo Mashariki waka kaa kama wakimbizi alafu badae...
Mbunge wa Nzega Mjnini Bashe (CCM) amelitaka Bunge kuangalia sheria zote ambazo zinamzuia au zinamuwekea Raisi Magufuli kizingiti kwenye kutekeleza majukumu yake ya kuindustrialize nchi yetu basi...
Jambo hili wabunge mlipeleke Bungeni kisha muunde kamati teule ya Bunge kuchunguza ukweli wa jambo hili na ikithibitika tuhuma hizi ni za kweli Bunge liweke maazimio ya kuitaka serikali ichukue...
Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe (CCM) amefunguka na kusema kuwa kwa twakimu mbalimbali ambazo zinatolewa na BoT zinaonyesha mambo hayapo sawa hivyo kuna haja kubwa kwa Serikali kupitia Waziri...
1. Mpaka sasa haieleweki dira yake hasa ni nini. Kila kitu ni kama kinajiendea tu. Hakuna concrete direction.
2. Nchi inakosa umeme kila mahali kwa zaidi ya miezi sita na wala hakuna...
Uwepo wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema kwenye kambi ya Taifa Stars kule Ivory Coast kumeifanya Timu yetu kuweka Historia Mpya kwa kurudi Nyumbani na jumla ya pweinti 2
Ikumbukwe akina Tenga na...
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amejibu baadhi ya hoja zilizoibuliwa kuhusu kupanda bei kwa sukari huku akiwatahadharisha Wafanyabishara wanaotumia Wanasiasa kuishikilia bango ajenda ya kupanda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.