Kama nchi naamini tuna uwezo wa kufanya vizuri zaidi ya hivi tunavyofanya

Pantosha

JF-Expert Member
Sep 22, 2022
349
464
Kuna mambo yanayogusa maisha ya wananchi ya kila dakika. Suala la mgao wa umeme, miundombinu ya maji kuharibika na kutokutengezwa kwa haraka ili kurejesha huduma, barabara mbovu, dawa hospitalini, nk. siyo vitu vya kusubiri sijui mpaka rais aje avitolee maelekezo au kuwajibisha watendaji wake.

Hivi inawezekanaje watu wakose mfano huduma ya maji wiki au hata zaidi huku mkijua watu wanatumia vyoo vya ku flash? Tujitakari na tuwajibike, tutafika tu.
 
Back
Top Bottom