..Majengo au minara ya kifahari ni utambulisho kwa miji mikubwa na hata nchi mbalimbali.
..Nitatoa mifano michache.
..Mnara wa Eiffel ndiyo utambulisho wa jiji la Paris.
..Haiyumkini mtu anasema amefika Paris, swali atakaloulizwa ni kama aliuona mnara wa Eiffel.
..Upo mnara wa Washington ambao ndiyo kitambulisho cha jiji la Washington DC.
..Washington DC wametunga sheria maalum kwamba ktk jiji hilo ni mwiko kujenga jengo refu kushinda Washington Monument.
..minara, majengo ya kifarahari, na makumbusho yenye kuvutia, siyo kwamba yako pale kupamba muonekano wa miji husika tu, bali ni VITEGA UCHUMI vinavyoingizia serekali na wananchi mapato makubwa.
..Kwanini ni vitega uchumi? Kwasababu ya kutembelewa na watalii wengi wa ndani na nje ya nchi.
..Kutembelea minara au makumbusho huwa ni BURE. Lakini kuna biashara nyingi ndogo-ndongo na kubwa zinazohudumia mamilioni ya watalii wa ndani na nje wanaotembelea, Eiffel tower (Paris), Washington Monument(Wash DC), Statue of Liberty(New York), Buckingham Palace(London), jumba la Taj Mahal(India), etc etc.
..Ningeweza pia kutaja makumbusho mbalimbali zilizosheni nyara mbalimbali za kihistoria, kazi za sanaa, na hata kumbukumbu za kisayansi na kiutafiti.
..Hata linapokuja suala la UZALENDO, naamini minara ya kumbukumbu, na makumbusho ya kihistoria, inaweza kuwa sehemu ya kuwafundisha, na kuwajenga, vijana wetu.
..Tunapofikiria kuhamia Dodoma tufikirie pia na kujenga mji uliopangika vizuri, na wenye sifa, vigezo, na vivutio, kama majiji mengine ktk nchi za wenzetu.
NB.
..Nikipata muda nitawatumia takwimu za idadi wa watalii wanaovutiwa na maeneo niliyoyataja hapo juu.
Mzee Mwanakijiji, Pascal Mayalla, Nguruvi3, Kiranga, Nyani Ngabu, chige, Mgambilwa ni mntu ,YEHODAYA