Dkt. Magufuli: Sijawahi kuona mpinzani bora kabisa nchini kama Dkt. Slaa

Etwege

JF-Expert Member
Jul 4, 2018
2,784
2,000
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi Dkt. Magufuli leo akiwa anaomba kura Karatu ambako ni nyumbani kwa Slaa amesema wazi kuwa tangia mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini Tanzania, kama kuna mpinzani mmoja bora kabisa kuwahi kutokea basi ni Dkt. Wilbroad Peter Slaa.

Dkt. Magufuli amesema Slaa alikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja kwa masilahi mapana ya Watanzania na ndiyo maana aliamua kumteua kuwa balozi wa Nchi yetu huko Sweden.

Dkt. Magufuli amesema wapinzani wa sasa wanachokijua ni kutukana, kutetea mabeberu na kutoka nje ya Bunge kila Bajeti ya Serikali inapoletwa.
 

Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,503
2,000
Slaa alikuwa na uwezo wa kujenga hoja kwa evidence na mpaka ccm wenyewe wakaishia kushikana mashati.

Siyo hawa kina Lisu wanategemea kina Amsterdam
Slaa alionekana anaongea kwa hoja kwasababu siri zilikuwa zinatoka CCM wanampenyezea, na JK alikuwa mtaarabu ingekuwa kwa JPM asingeweza kuthubutu kama Lisu alivyomsumbua JPM,
 

Shambaboy jogoli

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
1,015
2,000
Mgombea urais kupitia chama cha Mapinduzi Dkt. Magufuli leo akiwa anaomba kura Karatu ambako ni nyumbani kwa Slaa amesema wazi kuwa tangia mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini Tanzania, kama kuna mpinzani mmoja bora kabisa kuwahi kutokea basi ni Dkt. Wilbroad Peter Slaa

Dkt. Magufuli amesema Slaa alikuwa na uwezo mkubwa wa kujenga hoja kwa masilahi mapana ya watanzania na ndiyo maana aliamua kumteua kuwa balozi wa nchi yetu huko Sweden.

Dkt. Magufuli amesema wapinzani wa sasa wanachokijua ni kutukana ,kutetea mabeberu na kutoka nje ya bunge kila bajeti ya Serikali inapoletwa.
CHADEMA walipoteza Lulu kwa kukumbatia bilioni za waliyemwita fisadi Lowasa! Afu eti wanauchungu na watanzania uongo, matumbo yao tu!
 

Domhome

JF-Expert Member
Jun 28, 2010
2,793
2,000
MTU pekee awezaye muamini Magufuli ni yule aloamua kujitoa ufahamu. Rais gani unakuwa muongo muongo? Kwanini rais ana ndimi mbili?

BIBLIA :
"Vivyo hivyo ulimi nao ni kiungo kidogo, nao hujivuna majivuno makuu. Angalieni jinsi moto mdogo uwashavyo msitu mkubwa sana."

Yakobo 3:5
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom