Ni lini Kanisa Katoliki litasimama kuliomba radhi taifa hili kwa kutuzalishia wengi wa wasomi wasio wazalendo?

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,365
12,823
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
 
Wewe jamaa una mada za kipuuzi sana. Halafu chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki, huwa hazijifichi.
Unataka kuniambia hata hao viongozi wako wa Bakwata ambao wameuza viwanja vyote vya Waislam Jijini Dar es Salaam, na pesa zote kuziingiza mifukoni mwao; nao ni zao la shule za Katoliki!
 
Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??
Sikubaliani na hoja yako kwa sababu kadhaa.

Yawezekana proportionally kwenye uongozi na utumishi wa umma, wakristo walikuwa wengi kuliko waislam, lakini ukweli ni kwamba haijawahi kutokea wakati wowote ambapo nchi hii iliwahi kutawaliwa na watu wa dini moja au taasisi za Serikali zikaendeshwa na dini moja.

Tukiangalia kwa umakini, viongozi na watumishi wengi wa nchi, awamu ya kwanza, walifanya kazi kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu, hata maisha yao yalikuwa ya kawaida sana.

Uzalendo na uaminifu viliporomoka kwa kasi wakati wa awamu ya pili. Wakati wa awamu ya pili ndio nchi ilipokea misaada mingi na mikubwa kuliko awamu nyingine yoyote. Wastani wa misaada ulifikia dola 625 kwa kila raia lakini inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya pesa yote iliishia mikononi mwa mafisadi.

Awamu ya 3, wizi na ufisadi ulipungua kwa kiasi, lakini ukaja kupaa wakati wa awamu ya 4, na umeendelea kuwa mkubwa zaidi mpaka leo. Hawa wanaoyafanya hayo wamesoma kwenye shule za umiliki tofauti tofauti. Kwa hali ilivyo, hakuna cha muislam wala mkristo, wala mpagani, yote ni majizi. Hata ukitazama kwa uchache tu ambao ama ni wezi, mafisadi au waporaji wa mali za watu, wanaoingia mikataba ya hovyo kutokana na kupewa rushwa kubwa, unauona mchanganyiko wa wazi.

Makonda - mkristo
Majaliwa - muislam
Mbarawa - muislam
Biteko - mkristo
Mchengerwa - muislam
January - mpagani
Lowasa - mkristo
Abdul - muislam
Kinana - muislam
Bashe - muislam
Mwigulu - mkristo
Dau - muislam
Malima - muislam
 
Pole kwa sonona!
 
Wewe jamaa una mada za kipuuzi sana. Halafu chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki, huwa hazijifichi. Kwa hiyo akina Dr. Ramadhan Dau walio ifilisi NSSF nao walisoma shule za Katoliki?

Inawezekana kwako zikawa ni za kipuuzi,inategema na thinking capacity yako.

Well,wewe ulishaijua Nssf performance yake kabla ya Dr DAU..??

Besides Nssf ya Dr DAU ni most stable and institution na mfano wa kuigwa katika kuendesha Taasisi kisasa na kifaida.

Mfano ulio hai Hilo Daraja la kigamboni ni Zao la jitahada za Nssf ya Dr DAU,na hadi anaondoka Kwa chuki zenu za udini eti anaajiri waislam Bado limeendelea kuwa Shirika imara na lenye tija Kwa Taifa,Nssf iliyofilisika ni ipi??

Hiyo mifuko mingine yyte ilionekana vituko ikaungwa pamoja na kuwa mfuko mmoja ila Nssf ya Dr DAU ikabakia kuwa Giant Performer hadi Leo.

Tuambie kuhusu Tanesco ambao ni wasomi wa kanisa tuh wamejazana huko,Wana tija Gani Kwa Taifa hili?
 
Wewe jamaa una mada za kipuuzi sana. Halafu chuki zako dhidi ya Kanisa Katoliki, huwa hazijifichi.
Unataka kuniambia hata hao viongozi wako wa Bakwata ambao wameuza viwanja vyote vya Waislam Jijini Dar es Salaam, na pesa zote kuziingiza mifukoni mwao; nao ni zao la shule za Katoliki!
Mwambie huyu Pimbi.Kasahau Mwinyi aliuza Loliondo kwa Waarabu na huyu mwingine kauza Bandari huko huko sasa sijui walisoma Seminar zipi ?.
 
Sikubaliani na hoja yako kwa sababu kadhaa.

Yawezekana proportionally kwenye uongozi na utumishi wa umma, wakristo walikuwa wengi kuliko waislam, lakini ukweli ni kwamba haijawahi kutokea wakati wowote ambapo nchi hii iliwahi kutawaliwa na watu wa dini moja au taasisi za Serikali zikaendeshwa na dini moja.

Tukiangalia kwa umakini, viongozi na watumishi wengi wa nchi, awamu ya kwanza, walifanya kazi kwa uaminifu na uzalendo wa hali ya juu, hata maisha yao yalikuwa ya kawaida sana.

Uzalendo na uaminifu viliporomoka kwa kasi wakati wa awamu ya pili. Wakati wa awamu ya pili ndio nchi ilipokea misaada mingi na mikubwa kuliko awamu nyingine yoyote. Wastani wa misaada ulifikia dola 625 kwa kila raia lakini inakadiriwa kuwa zaidi ya 60% ya pesa yote iliishia mikononi mwa mafisadi.

Awamu ya 3, wizi na ufisadi ulipungua kwa kiasi, lakini ukaja kupaa wakati wa awamu ya 4, na umeendelea kuwa mkubwa zaidi mpaka leo. Hawa wanaoyafanya hayo wamesoma kwenye shule za umiliki tofauti tofauti. Kwa hali ilivyo, hakuna cha muislam wala mkristo, wala mpagani, yote ni majizi. Hata ukitazama kwa uchache tu ambao ama ni wezi, mafisadi au waporaji wa mali za watu, wanaoingia mikataba ya hovyo kutokana na kupewa rushwa kubwa, unauona mchanganyiko wa wazi.

Makonda - mkristo
Majaliwa - muislam
Mbarawa - muislam
Biteko - mkristo
Mchengerwa - muislam
January - mpagani
Lowasa - mkristo
Abdul - muislam
Kinana - muislam
Bashe - muislam
Mwigulu - mkristo
Dau - muislam
Malima - muislam

That's why nasema Kanisa linatakiwa liombe radhi Kwa kuzalishwa wasomi wa hovyo kizazi na kizazi hadi Leo hii.

Kwani suala Hilo SI ni nyinyi wenyewe mnajitamba Kwa jeuri kuwa wenye shule ni nyinyi?na sisi tusio na shule kazi zetu ni uswahili.

Awamu ya kwanza ya Nyerere ni awamu mbovu kuwahi kutokea,nchi ni almost ilikua imeanguka kiuchumi na kila sekta ya Maisha,unadhani sera ya kusema Ruksa ilikuja Kwa bahati MBAYA??may be umri wako ni mdogo huwezi kuelewa.

Awamu hiyo ya tatu,ndiyo wasomi wa awamu hiyo wa kanisa wakawa vinara kuuza na kubinfasisha mashirika ya umma Kwa bei Chee,hadi mwenyewe kiongozi kufikia hatua ya kukiri kujutia uozo kama ule.

Hiyo Bado haiondoi fact kuwa wasomi wote katika awamu hizo Bado ni hao hao wa Kanisa, wasomi wa kanisa wamekuwa disgrace Kwa Taifa hili
 
Friends and Our Enemies,

Italian philosopher and poetry Dante Alighieri,who partly was influenced by Muslim Philosopher Ibn Sina used to say that 'how you do anything is how you do everything'...

Kilchotokea kwenye Taifa hili mara baada tuh ya nchi hii kupata uhuru ni kupambana na maadui watatu ambao ni ujinga,maradhi na umaskini.

Nchi hii ili iweze kupambana na ujinga ilibidi ichukue kila ambacho mkoloni alikuwa ana kimiliki kiwe wakfu Kwa Taifa hili.

Either kama mkoloni alikuwa anamiliki plantations, alikuwa anamiliki hospitals, alikuwa anamiliki shule,alikua anamiliki viwanda,alikuwa anamiliki makanisani,etc etc...so long as vitu hivyo mkoloni alivichuma hapa kwenye ardhi hii Tena Kwa kuwatumia mababu zetu kama watumwa na vijakazi wake basi Mali hizo anazoacha baada ya yeye kuondolewa ni Mali za Taifa hili Kwa kuwa alizichuma illegally ndani ya ardhi yetu.

Kwenye suala la kuondoa ujinga,kanisa lilishika hatamu Kwa kias kikubwa Kwa sababu hata kipindi ambacho wakoloni wapo ndani ya Taifa hili,wanufaika wakubwa wa the so called elimu Dunia ni watoto wa vibaraka wao weusi,ambao Kwa namna yyte wao ndiyo waliopata loopholes za kwenda shule Kwa kutumia mgongo wa Imani ili waje kuwasadia katika administration issues za chini chini na baadhi ya kazi walizoona wao zinafaa.

Baada ya kuwakimbiza wanyonyaji hao Bado mifumo ilibakia chini ya hawa vibaraka wao kiasi kilichopelekea kuzalisha wasomi wengi kizaz baada ya kizaz ambao waliingia Moja Kwa Moja katika utumishi wa umma wa Taifa hili.

Watumishi hao wengi wao kama siyo wote bahata mbaya sana wakaja kubadilika na kukosa hofu ya mungu,ambayo hata hivyo haijawahi kufundishwa huko kwenye misingi Yao ya elimu kuwa utumishi wa umma ni ibada,watumishi hao wakawa wengi wakazidi kuzaliana kizazi na kizazi kiasi Cha kupelekea wao kujaa kwenye utumishi wa umma.

Taifa lolote linaongozwa na watumishi WAZALENDO,hao ndiyo watakuwa responsible kutengeneza sera imara Kwa ajili ya kilimo,ulinzi wa nchi,elimu,biashara, technology na kadhalika.

Bahati mbaya watumishi hawa,ambao Mimi nawaona Kwa kiwango kikubwa ni Zao za shle za kanisa katoliki na mengine hawaja na msaada katika Taifa hili, wengi wao wamekuwa wabinafsi,wezi,Wala rushwa na ambao wamekosa ubunifu wa kufanya Yale yanayostahiki kufanywa kulingana na elimu Yao ili kulipeleka mbele Taifa hili.

Tunawauliza Sasa hawa wasomi wa kanisa,lini watapata uzalendo na kulitumikia Taifa hili kwa weledi na hofu ya mungu Kwa kuacha rushwa,wizi, ufisadi na kadhalika??

Ninasema hivyo kwa kujiamini Kwa sababu ni kweli wao wenyewe ndiyo wanasema ndani ya nchi hii wasomi ni wao,na serikalini wamejaa wao,sisi wengine wavaa kobazi hakuna la maana tunajua zaidi ya elimu akhera.

Je,lini kanisa katoliki LITASIMAMA kuomba radhi Kwa KUTUZALISHIA wasomi wengi ambao wamekuwa disgrace Kwa Taifa letu??

Si kazi yao, wasomi wanazalishwa is how serikali ina wa utilize.
Utilization ya wasomi nchi hii ni poor na kanisa si la kulaumiwa, serikali
 
Inawezekana kwako zikawa ni za kipuuzi,inategema na thinking capacity yako.

Well,wewe ulishaijua Nssf performance yake kabla ya Dr DAU..??

Besides Nssf ya Dr DAU ni most stable and institution na mfano wa kuigwa katika kuendesha Taasisi kisasa na kifaida.

Mfano ulio hai Hilo Daraja la kigamboni ni Zao la jitahada za Nssf ya Dr DAU,na hadi anaondoka Kwa chuki zenu za udini eti anaajiri waislam Bado limeendelea kuwa Shirika imara na lenye tija Kwa Taifa,Nssf iliyofilisika ni ipi??

Hiyo mifuko mingine yyte ilionekana vituko ikaungwa pamoja na kuwa mfuko mmoja ila Nssf ya Dr DAU ikabakia kuwa Giant Performer hadi Leo.

Tuambie kuhusu Tanesco ambao ni wasomi wa kanisa tuh wamejazana huko,Wana tija Gani Kwa Taifa hili?
Na huyu mama yako naye aliyeruhusu ufisadi kutamalaki nchini, amesoma shule gani ya Kikatoliki?
 
That's why nasema Kanisa linatakiwa liombe radhi Kwa kuzalishwa wasomi wa hovyo kizazi na kizazi hadi Leo hii.

Kwani suala Hilo SI ni nyinyi wenyewe mnajitamba Kwa jeuri kuwa wenye shule ni nyinyi?na sisi tusio na shule kazi zetu ni uswahili.

Awamu ya kwanza ya Nyerere ni awamu mbovu kuwahi kutokea,nchi ni almost ilikua imeanguka kiuchumi na kila sekta ya Maisha,unadhani sera ya kusema Ruksa ilikuja Kwa bahati MBAYA??may be umri wako ni mdogo huwezi kuelewa.

Awamu hiyo ya tatu,ndiyo wasomi wa awamu hiyo wa kanisa wakawa vinara kuuza na kubinfasisha mashirika ya umma Kwa bei Chee,hadi mwenyewe kiongozi kufikia hatua ya kukiri kujutia uozo kama ule.

Hiyo Bado haiondoi fact kuwa wasomi wote katika awamu hizo Bado ni hao hao wa Kanisa, wasomi wa kanisa wamekuwa disgrace Kwa Taifa hili
...Awamu ya kwanza ilikuwa ni Awamu mbovu kuwahi kutokea... Really!.Hivi Si Nyerere ndiye aliyabinafsidha Shule za Kanisa ..n nyie Makobazi' mkaongeseka kwenye kusoma! Yaani unataka kulintanisha Nyerere na mwinyi..Aisee!
 
Umefanya tafiti yakutosha

Serikali yetu haifungamani na dini zote nchini inawezekana katolic walishatoa sana ushauri ukawa unapuuzwa

Kama ilivyo Leo zama za habari ,kitima anapambana balaa kama mtendaji wa Baraza la maaskaofu lakini serikali bado inaendelea kupiga ng'ombe wanyuma na wambele ndo mvivu na mvimbiwa
 
Na huyu mama yako naye aliyeruhusu ufisadi kutamalaki nchini, amesoma shule gani ya Kikatoliki?
Understand this,ww msomi wa kanisa lielewe hili...Rais aliepo madarakani Hana ubavu wa kuwafanya hao wasomi waache kuiba,ndiyo maana Kuna mahakama,polisi,takukuru na kadhalika,hiyo yote ni kudeal na hao wanaojiita wasomi.

Hata magufuli ambae kwako ww unaweza sema kuwa alikuwa anapambana na ufisadi,Bado wasomi waliojaa kwenye utumishi ambao wengi ni wasomi wa kanisa hawakuisha kuliibia Taifa hili na kuingia mikataba mibovu,hadi akifika hatua magufuli akasema sijui kabudi unawafundisha Nini huko chuo.

Sisi Bado tunataka Kanisa lituambie lini litaomba radhi Kwa niaba ya wasomi wao hawa.
 
Back
Top Bottom