Waziri wa ajabu kwa nchi yetu ni huyu

HUSSEN KAMBI

Senior Member
Dec 4, 2023
175
212
Waziri wa ajabu sana tena sana khasa kwa nchi yetu nieleweke nimesema kwa nchi yetu ambayo viongozi wengi wanajitoa akili hili wabaki kwenye teuzi lakini ajabu ya huyu waziri anajiuzulu mwenyewe kwasababu pombe zimepungua wenzake wanajitoa akili hili kubaki kwenye nafasi zao kwa nchi zingine zinazojali utawala wa sheria ni sawa kwa waziri kujiuzuru mwenyewe lakini sio kwenye nchi hii ya machawa hongera kwake kwa aliekua waziri mh simai nina amini wenzako watakuiga kwani mawaziri wote wa bara na visiwani hawautendei haki uwaziri wao wote wameacha kufanya kazi wamebaki kwenye uchawa

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Ndugu!!Unadhani uwaziri wa Kizimkazi(Kisiwani) unaulaji kama wa Upande wa Bara?
Bara Waziri anatukana wananchi na kufanya uzembe wa wazi tena direct, lakini asali ya Uwaziri hathubutu kuitema

Sent from my SM-A107M using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom