Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tanzania kwa miaka kama saba hivi spika na Jaji Mkuu ni sehemu ya msafara wa Rais. Kila anapokuwa Rais lazima spika awepo pembeni na Jaji Mkuu. Utatu huu mtakatifu unawezaje kutekeleza dhana ya...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwema Wakuu! Sijui anatumia uchawi gani. Sijui anatumia mbinu gani za kimedani. Lakini huyu jamaa kwa sasa hakuna mwanasiasa yoyote ambaye anamsogelea kwa umaarufu hata kwa kilometa mia moja...
26 Reactions
133 Replies
6K Views
Ni ajabu Sana Sifa Kuu ya Tume Huru ya Uchaguzi ni Watendaji wake wakuu kupatikana kwa njia Huru, ya Wazi na isiyoegemea upande wowote Na ndivyo bunge letu tukufu limebadilisha mfumo mzima wa...
6 Reactions
85 Replies
4K Views
"Nimesikia Bunge limeridhia Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) sasa iitwe Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NFEC). Yaani kuongeza neno HURU kumeleta uhuru wa Tume. Kazi Iendelee. Lakini?" Askofu Dkt...
2 Reactions
3 Replies
713 Views
Mchoraji mkuu wa siasa za ushindi wa CCM kwa sasa kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 sio mwingine bali ni Kanali Mstaafu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania, Afande Abdulaman Kinana! Sijui ni...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Viongozi wakuu wa SADC wamekutana kwa dharura kujadili Kipindupindu. Ninapenda kufahamu kipindupindu ni agenda ya head of states au ilitakiwa kuwa chini ya wataalam wa Afya? Kwamba na umaskini...
1 Reactions
8 Replies
712 Views
Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi. Taarifa hizi zilisambazwa na...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Mwaka jana wakati wa kikao cha CCM kilichopokea na kukubali chogolo akae pembeni Mwenyekiti alisema watafanya uchunguzi dhidi ya watu wanaomtuhumu Chogolo. Ukipita mitandaoni leo kwanza kuna...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine. Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea. Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi...
9 Reactions
82 Replies
5K Views
Kama mnavyojua mchakato wa katiba mpya ulianza mwaka 2010/11 na ukafikia kikomo mwaka 2014, leo naomba kujifunza na kujuzwa. 1. Nani alisababisha katiba mpya isipatikane? 2. Nini kilisababisha...
2 Reactions
13 Replies
829 Views
MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3: MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi...
0 Reactions
0 Replies
486 Views
Mzee Kinana akizungumza na viongozi wa CCM DAR es salaam ameeleza kwamba CCM imeondoa kesi tisa za jinai walizowafungulia chadema mahakamani na sasa hivi wanaangalia namna ya kufuta kesi mbili...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni utawala wa Magufuli ulimfanya Hamphrey Polepole ampigie simu Mama yangu wa Kambo aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa wa Tanga enzi enzo ilikuwa majira ya saa tano Kasoro. Nakumbuka Mama yangu wa...
14 Reactions
43 Replies
3K Views
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya leo ametoa Sadaka ya Shukrani Kanisa la Eberneza la Mataifa Yote jijini Arusha huku akiwa amesindikizwa na Watu mashuhuri...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakati Rais Hussein Mwinyi anaingia madaralani, uchumi wa Zanzibar ulikuwa kunakuwa kwa asilimia zisizozidi 5. Lakini ndani ya kipindi cha miaka 3 tu uchumi wa Zanzibar leo unakua kwa asilimia...
4 Reactions
44 Replies
2K Views
Hivi unapata wapi nafasi ya kuipenda na kuitetea Serikali ya Wahuni, viongozi wake wabinafsi, watu wenye roho mbaya, watumishi wala rushwa, hii nchi inakoendea vikundi vya waasi vitajitengeneza...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Mbunge Saashisha Mafuwe Amlilia Katibu wake, Mwal. Benson Lema Aliyekuwa Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Hai Mwl. Benson Lema azikwa kijijini kwao Nronga – Machame. Mamia ya waombolezaji...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mchungaji Matsahi wa KKKT Kimara amesema imemlazimu kuwapa adhabu Vijana wa Kanisani hapo kwa Sababu ya uzembe wa kutomaliza kazi licha ya kulipwa pesa zao zote Matsahi amesema ingekuwa akiwapa...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Mto Ng' ombe ambao huanzia ubungo hadi bahari ya hindi kabla ya Rais Magufuli kulikua ma mafuriko yaliyo sababisha nyumba kuharibika na watu kupoteza maisha na mali. Lakini kwa kazi ambayo Rais...
2 Reactions
8 Replies
908 Views
MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini. Jumuiya zote za CCM...
1 Reactions
3 Replies
506 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…