Ole Sabaya aanza safari ya Uteuzini, leo atoa Sadaka ya Shukrani Kanisa la Ebenezer Arusha akiwa amesindikizwa na viongozi mbalimbali!

Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya leo ametoa Sadaka ya Shukrani Kanisa la Eberneza la Mataifa Yote jijini Arusha huku akiwa amesindikizwa na Watu mashuhuri mbalimbali

Tuzidi kumuombea kwani safari ndio kaianza

Nawatakia Dominica njema 😄
Soma maana ya kiongozi

KUSIMAMISHA UADILIFU:

Kiongozi wa Kiislamu anatakiwa na Uislamu kutambua kwamba kuwafanyia uadilifu raia wake ni wajibu wake yeye.

Na wao raia huo uadilifu wake ni haki yao ya kisheria waliyopewa na Allah, kwa hivyo hakuna wa kuwapokonya.

Ahakikishe kuwa anatoa hukumu ya haki, isiyo na upendeleo kwa kigezo cho chote kiwacho baina ya mahasimu wawili waliofika mbele ya sheria.

Achukue haki ya mdhulumiwa kutoka kwa dhalimu na kumpa huyo mdhulumiwa kwa namna anayostahiki.

Watu wote wawe sawa mbele ya sheria, usiwepo kabisa mwanya wa upendeleo. Mfalme asipewe haki kwa sababu tu ya ufalme wake, sheria isipindwe kwa tajiri kwa kigezo cha utajiri wake na mnyonge asionewe kwa ajili tu ya unyonge wake.

Ni wajibu wa kiongozi kuyasimamia yote haya kwa kuhakikisha kuwa uadilifu unakuwa juu ya utajiri, cheo na umaarufu wa mtu.

Kiongozi akumbuke kuwa uadilifu ndio msingi mkuu wa haki na utawala bora unaoenziwa na wapenda haki wote bali na Allah.

Kiongozi wa Kiislamu anatakiwa kujipangia utaratibu wa kusikiliza malalamiko na matatizo ya raia wake.
 
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya leo ametoa Sadaka ya Shukrani Kanisa la Eberneza la Mataifa Yote jijini Arusha huku akiwa amesindikizwa na Watu mashuhuri mbalimbali

Tuzidi kumuombea kwani safari ndio kaianza

Nawatakia Dominica njema 😄
Aliowadhurumu bado wapo na wana kinyongo......muda utaamua
 
CCM msimrudishe Sabaya mtazidi kuwavuruga wapinzani.
wapinzani ni wadau wa kuamsha hari ya kujenga nchi msiwapige sana spana.
 
Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya leo ametoa Sadaka ya Shukrani Kanisa la Eberneza la Mataifa Yote jijini Arusha huku akiwa amesindikizwa na Watu mashuhuri mbalimbali

Tuzidi kumuombea kwani safari ndio kaianza

Nawatakia Dominica njema 😄
Huyu muuaji ananuka kama za watu wasio na hatia
 
Uteuzi wa Sabaya itakuwa ‘manna’ CDM waliokuwa wakiiombea kutoka mbinguni.

Watch this space
 
Kwa jinsi mteuzi anavyopenda madaraka akiambiwa kama akiampa cheo Sabaya ndiyo itamuhakikishia kubaki madarakani basi atamteua bila kujali makandokando yake.
 
Back
Top Bottom