Musoma Vijijini - Sherehe za Miaka 47 ya Kuzaliwa kwa CCM Zafana Sana

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,898
942

MUSOMA VIJIJINI - SHEREHE ZA MIAKA 47 YA KUZALIWA KWA CCM ZAFANA SANA

Sherehe za kuzaliwa kwa CCM zinafanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jimbo la Musoma Vijijini.

Jumuiya zote za CCM zimekamilisha sherehe zake. Chama kinaendelea kusherehekea kwenye ngazi za Kata.

Mbunge wa Jimbo, Prof Sospeter Muhongo anachangia ufanikishaji wa sherehe hizi.

Jana, Jumamosi, 3.2.2024 Sherehe hizo zimefanyika Kijijini Kakisheri, Kata ya Nyakatende.

Tafadhali sikiliza CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa - CCM na Serikali yake inapewa shukrani nyingi mno!

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz

Tarehe:
Jumapili, 4.2.2024
 
Barabara ya lami musoma mjini Hadi majita inakamilika lini? Ni zaidi ya miaka sita inajengwa, inasuasua,,,,,,,, japo nikupongeze mbunge Kwa kupambania ujenzi wa shule
 
Back
Top Bottom