Kama Makonda ana uthubutu, ajaribu kumpigia Nape simu akiwa jukwaani

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,563
50,415
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.

Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.

Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kitenge aliyezima jaribio hilo.
 
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.

Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.

Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kittenge aliyezima jaribio hilo.
Haikuwa Ubungo Plaza ile bana.
 
Makonda amekuwa habari ya mjini kote nchini Tanzania!
Makonda anawanyima usingizi Chadema kila anavyozidi kupasua anga!
Makonda anawanyima usingizi WAHUNI ndani ya CCM.
Makonda anawanyima usingizi mafisadi ndani ya CCM wanaowaza uraisi wa 2030.
Haya mengine mnahangaika wapumbavu wa keyboard warriors bila mafanikio.
Sijui kubenea wa Chadema anajisikiaje kwa sasa?
 
Haitokaa itokee Makonda akampigia Nape simu kama anavyofanya kwa mawaziri wengine.

Kwa bifu lililopo kati ya Nape na Makonda sitegemei kuliona hili likitokea.

Makonda akiwa RC wa DSM aliwahi kutoa amri haramu ya kumtoa utumbo Nape kwa bastola pale Ubungo Plaza. Shukurani zimwendee Maulidi Kittenge aliyezima jaribio hilo.
Wabongo wachonganishiiii
 
Yaani wewe tangia Mheshimiwa Makonda aingie na kupewa uenezi na kuona namna alivyopokelewa na watanzania kwa shangwe na matumaini makubwa, umekuwa ukiweweseka sana na kuhangaika sana na mheshimiwa Makonda.

Umepiga Majungu umeona kila mtu amekupuuza na sasa unaendelea kubuni na kuandika vimaneno vya hovyo hovyo tu.lengo ni kutaka angalau uone watu wakimchukia Mheshimiwa Makonda lakini unaendelea kupuuzwa tu
 
Wewe kubali tu kuwa Mheshimiwa Makonda ndiye mwenezi wetu wa CCM Taifa na Anaendelea kuchanja mbuga katika mioyo ya watanzania,ambao wanaendelea kupaza sauti zao kutaka apokee Urais kutoka kwa Mh Rais Samia Mwaka 2030.

Si ni wewe ulikuja na uzushi wako humu kuwa makamu mwenyekiti wa CCM mh kinana anataka kujiuzulu kwa sababu hakubaliani na uteuzi wa Mh Makonda? Yapo wapi sasa uliyozusha ewe mnafiki mkubwa usiye na haya wala soni.?

Wewe ni mnafiki na unayeteseka sana kuona mh Makonda akikubalika kwa watanzania.lengo lako limeshindwa na utaendelea kushindwa siku zote ,.maombi yako mabaya kwa mh makonda yatakurudia mwenyewe na uzao wako.

Huwezi kushindana na mheshimiwa Makonda kwa namna yoyote ile,hutaweza kumzuia Mheshimiwa Makonda kwa njia yoyote ile. Makonda ni mpango wa Mungu katika kumuandaa kwa nafasi za juu kuongoza Taifa letu.hivyo vita yoyote ile na silaha yoyote ile utakayo iinua kamwe haitafanikiwa maana itakutana na mkono wa Mungu ulio imara na hodari.

Fanya uwezavyo lakini huwezi kuzuia wala kuondoa kibali cha Mwenyezi Mungu kilichowekwa kwa Makonda.hujiuliza kwanini anakubalika kiasi hiki? Hujiulizi kwanini anapokelewa kwa kishindo huko mikoani? Hujiulizi kwa nini Taifa limekuwa na matumaini makubwa juu yake na kumtabilia makubwa huko mbele?

Ungekuwa na akili japo kidogo tu ungetambua ya kuwa Mheshimiwa Makonda ni mpango wa Mungu Mwenyewe
 
Huu ndio wakati mzuri Kwa Crd.Makonda kujibu ile press release ya Marekani/Pompoe kuhusu kudhulumu haki ya wengine kuishi.
 
Mheshimiwa Makonda hazuiliki kwa uzushi na fitina za watu wajinga aina yako.anaendelea kuchapa kazi na kuitetea CCM Tofauti na wewe mpiga porojo mwenye roho ya kishetani uliye kosa kazi na kukalia Majungu na umbea tu.kwa sasa Taifa limeelekeza macho na masikio yake katika ziara za Mh Makonda na kufuatilia kinachojili huko.sasa wewe endelea na Majungu yako uone kama utamkwamisha au kumzuia Mh Makonda.

Usishidane na mwenye kibali cha Mungu mkononi mwake .Makonda ameinuliwa na Mungu mwenyewe na kupewa kibali na Mungu. Ninyi ndio mlimtangazia mwisho lakini Mungu akautangaza mwanzo wake ulio na ukuu na mafanikio.
 
Si ni wewe ulikuja na uzushi wako humu kuwa makamu mwenyekiti wa CCM mh kinana anataka kujiuzulu kwa sababu hakubaliani na uteuzi wa Mh Makonda?
Ni kweli mzee Kinana alikasirika sana baada ya kuona muuaji, mtekaji na mporaji ndiye kayteuliwa kuwa mwenzezi wa ccm taifa.

Shukurani zenu zimwendee mama Samia aliyetumia takribani mwezi mzima kumbembeleza mzee Kinana asijiuzulu.
 
Ni kweli mzee Kinana alikasirika sana baada ya kuona muuaji, mtekaji na mporaji ndiye kayteuliwa kuwa mwenzezi wa ccm taifa.

Shukurani zenu zimwendee mama Samia aliyetumia takribani mwezi mzima kumbembeleza mzee Kinana asijiuzulu.
Chama hakina muda wa kubembeleza mtu bali chama kina ajenda moja tu ya kuwatumikia watanzania na kufanya kazi na walio tayari kuwatumikia wananchi.ndio maana kila mtu yupo kwenye nafasi yake akitimiza majukumu yake.wewe endelea na uzushi wako ambao hata hivyo haumkwamishi wala kumzuia Mheshimiwa Makonda katika kuwafikia watanzania.

Makonda ndio habari ya mjini kwa sasa.wewe kaa hapo hapo subiri uone siku akiapishwa kuwa Rais wetu.
 
Back
Top Bottom